Awesu Awesu kuitumikia Simba rasmi

anoldmedia

Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
18
Reaction score
27
➡️ Kmc Fc na Simba Sc zimefikia makubaliano ya uhamisho wa kiungo Awesu Awesu kwa ada ambayo haijawekwa wazi.

✅ Rasmi Awesu Awesu ataitumikia Simba Sc kwa miaka miwil.





Klabu ya KMC FC inapenda kuwataarifu wanakinondoni na wadau wa Soka nchini kwamba tumefikia makubaliano ya uhamisho wa mchezaji Awesu Ali Awesu na klabu ya Simba Sc.

Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya vikao vya timu zote mbili. Awesu Ali Awesu amehudumu ndani ya klabu ya KMC kwa takribani miaka miwili akiwa kama kiongozi (Nahodha ).

Klabu inamtakia kila la kheri mchezaji Awesu Ali Awesu Katika majukumu yake mapya.
 
Tulijua Simba chama la wana haliwezi kushindwa ka dili kadogo kadogo kama haka.

AWESU karibu sana unyamanini ila ungangamale vinginevyo mbao ndefu zitakuhusu.
 
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba simba msimu huu itahamia Burundi. Ili iwe inacheza cafcl kila mwaka. Mwenye taarifa zaidi atujuze.
Mo hapokei simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…