Inaitwa wakitaa mkuuu,mbona IPO hiyo..Waungwana baada kuhangaika kwa muda mreefu sana kutafuta nyimbo ya mwana hiphop na mtangazaji Babuu wakitaa bila mafanikio nimeona nijisalimishe jukwaa hili!!
Nyimbo inaitwa NANI ANAYEWARUSHA nadhani ni hivyo, Hakuwahi kuitolea albam kusema ningeenda kuinunua, na nimetafuta kwenye mitandao mbalimbali bila mafanikio!
Sina mawasiliano ya Babuu wa kitaa kuweza kumwomba yeye mwenyewe.
Kwa kuwa nafahamu jukwaa hili lina wajuvi wengi wa mambo ya muziki matarajio yangu ni kusaidiwa kuipata!
Nitangulize shukrani!
ndiyo chorus ni hiyo ila inaitwa wa kitaa,jaribu hulkshare.comWakitaa ni nyimbo aliyoshirikishwa na late Mangweha,
Ninayoihitaji mimi Babuu yuko peke yake na kwenye chorus ndio anauliza "Nani anayewarusha" na watoto wanaitikia "Babuu Wakitaa".
Nipe namba nikuwhatsapieWaungwana baada kuhangaika kwa muda mreefu sana kutafuta nyimbo ya mwana hiphop na mtangazaji Babuu wakitaa bila mafanikio nimeona nijisalimishe jukwaa hili!!
Nyimbo inaitwa NANI ANAYEWARUSHA nadhani ni hivyo, Hakuwahi kuitolea albam kusema ningeenda kuinunua, na nimetafuta kwenye mitandao mbalimbali bila mafanikio!
Sina mawasiliano ya Babuu wa kitaa kuweza kumwomba yeye mwenyewe.
Kwa kuwa nafahamu jukwaa hili lina wajuvi wengi wa mambo ya muziki matarajio yangu ni kusaidiwa kuipata!
Nitangulize shukrani!
Nashukuru mdau mmoja amenipatia hapa hapa, nilishaitafuta sana kabla hii ngoma kwa kweli!Naipenda ile ngoma, anasema"Unapita mabangaloo ndipo unapaona kwetu, yote unaona hivyo kisa hakuna nyumba ndefu,mitaa inapotea unasahau ulipotekea.KINGO'OKO.hipo hiyo mtandaoni bwana.
Weka hapa huo wimbo tuusikie na sisiNashukuru mdau mmoja amenipatia hapa hapa, nilishaitafuta sana kabla hii ngoma kwa kweli!
Humu Babuu amechana hasa, yaani HipHop ingekuwa biashara hapa Afrika na Tanzania Babuu nadhani angekuwa moja ya marapa tajiri sana!
Ila ndio hivyo aina hii ya muziki hailipi na jamaa naona kama amekata nayo tamaa na kuamua kufanya mishe zingine!!
Weka hapa huo wimbo tuusikie na sisi