Ulishawai kuwa nyumbani na wazazi mnacheki movie
halafu ghalfa inakuja sex scene..watu wanashikana shikana wanapigana mabusu nk...
Dingi anapagawa ili kuuwa noma anakuuliza Josee ushapiga pasi gari..??
Na wewe ulivyochanganyikiwa unamjibu umeme umekatika mzee..
[emoji3][emoji3][emoji379][emoji379][emoji379][emoji379]
Hapo ndo utajua nobody can stop Reggae