AY achia Zigo aisee

AY achia Zigo aisee

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,668
Kwa muda mrefu msanii AY hajatoa wimbo mkali levo za Zigo, huu wimbo ni noma aisee, club banger haswaa sichoki kuusikiliza, namshauri awe siriaz kwenye video unaweza kumfikisha mbali, ikiwezekane ajitutumue aende kwa mnyama Godfather, then ajitahidi atoe video kabla haujapotea hewani
 
Marco chali amecopy na kupest beat hapo ndipo alipochafua hali ya hewa
 
Marco chali amecopy na kupest beat hapo ndipo alipochafua hali ya hewa

Usiwe una ongea bila kufanya utafiti au kuwa na hakika! Producer wa huu wimbo ni Nareehl na aliyefanya mixing ni Marco chali...!
Kwanza hujatuambia ni beat gani imekopiwa!
 
Video ipo director ni nisher wamechukulia zanzbar labda jamaa ajaamua kuiachia au kuna makubaliano ayajaisha
 
Video ipo director ni nisher wamechukulia zanzbar labda jamaa ajaamua kuiachia au kuna makubaliano ayajaisha

Kachemka hapo, ngoma zake za kawaida anazigharimikia video za hali ya juu halafu hii ngoma kali anaishia kugamble kwa Nisher? Nisher anajitahid kutoa video kali ndio but naonaga kama bado anabahatisha, mfano video ya Fid Q kachemka sana, video ya Joh Makini 'XO' kapatia
 
AY namuamini sana kwenye video najua hawezi kuniangusha, yeye huyu ndo alianzishaga haka kamtindo cha kwenda kwa Godifaza, halafu najua mkwanja wa kwenda kwa madiba kwake sio tatizo.

AY amewahi kufanya kazi na Godifaza?
 
Nafatilia, nilikuwa najua ni director wa South but sikujua kama ni Godifaza. Si unajua Godifaza kaanza kupata attention bongo baada ya video za Diamond, kabla ya hapo wengi hatukuwa tunamfatilia

Kubali hufuatilii au hujui mziki eti umemjua godfather baada ya diamond shame on u
 
Back
Top Bottom