Marco chali amecopy na kupest beat hapo ndipo alipochafua hali ya hewa
Video ipo director ni nisher wamechukulia zanzbar labda jamaa ajaamua kuiachia au kuna makubaliano ayajaisha
AY amewahi kufanya kazi na Godifaza?
AY amewahi kufanya kazi na Godifaza?
Mkuu inaelekea hufatilii muziki? ulibahatika kuona wimbo wa money?
Marco chali amecopy na kupest beat hapo ndipo alipochafua hali ya hewa
Nafatilia, nilikuwa najua ni director wa South but sikujua kama ni Godifaza. Si unajua Godifaza kaanza kupata attention bongo baada ya video za Diamond, kabla ya hapo wengi hatukuwa tunamfatilia