AY Ahojiwa BBC - Focus on Africa

AY Ahojiwa BBC - Focus on Africa

Nimeshindwa hata kuiangalia yote.

 
Last edited by a moderator:
Bwa'Nchuchu huko ni kutunyanyapaa sie ambao tunatumia Tecno ya Mchina.
Tusamaraizie kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Kama ni kitu cha kutisha useme kabisa nisije nikaota mie.
 
Jamaa kachemka tuu. Kichwa butu. Business business my ass. Ndo kutokuwa na watu wa publicity.
 
Back
Top Bottom