AY amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Remy aliyeishi nae kwa miaka nane

Uchumba wa hivi hauwagi wa moja kwa moja mnatrngana miaka mitatu wa nne mnarudiana,mnakaa miwili unafuata mnatengana,sema watu tukihesabu tunafululiza mm wangu miaka 12!sasa mpk kero.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Kubwagana na kurudiana mwisho mnaambulia maradhi mke Jay kaachwa miaka zaidi ya mi5 mpk kurudiana na kufunga ndoa!

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Hivi unawezaje kuishi na mwanamke chini ya dari moja kwa miaka nane halafu hata tumbo haliumuki?
Hawa watu waende kwa Mwingira wakapate maombi, huenda kuna shida kwenye mfumo wa uzazi...
Huwezi just maisha ya watu pengine walipanga wasizae Kwanza,acheni kupangia watu maisha

Sent from my Z970 using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa watakuwa wagumba, miaka minane ya kubanduana hawajatiana mimba. There's a problem
 
Reactions: SDG
Sio mbaya.... kapasha moto kiporo! !!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama amesha ishi naye miaka 8 pete ya uchumba ya nini,hapo kinachotakiwa ni kuoa tu hiyo stage ya pete ya uchumba wameshaivuka tayari,au mie ndio sielewi...
Tuna ita uchumba sugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…