AY amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Remy aliyeishi nae kwa miaka nane

mpaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Eti booking lol! Kuna watu wanafanya booking hadi first born anaingia chuo kikuu!!

Sent from my STUDIO SELFIE using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana wanamaanisha wamekuwa na mahusiano kwa miaka 8, na si kuishi pamoja kwa miaka 8.
Anyways, hongera zao. Nice couple!
 
Ndani ya hiyo miaka 8 Ay si alikua na Amani yule bidada wa Ug au?..
 
Amani ni wa Kenya na juzi nimesoma twitter ana admitt kua alikua na mahusiano na AY miaka 10 iliyopita lakini hawakubahatika kupata mtoto.
Thank yuu nilijua wa Ug inamaana waliachana miaka 8 iliyopita au?.......lkn inaelekea Ay anabahati na wadada wavumilivu
 
Kumvalisha pete rafiki yako ni rahaa sana!

Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
 
Miaka minane bila mtoto kuna uwezekano mkubwa WA mgumba v/s tasa. ...
 
Kumbe tayari ni wahenga

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Hiyo miaka 8 labda wanahesabu na kuachana miaka mi5. Yani kama mie niwe na childhood sweetheart tumezunguka kila mtu na yake tunakuja kukutana uzeeni tunahesabu kuanzia huko nyuma.

Wasitudanganye hawa mfyuuuuuu

Mrs Van
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…