AY amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Remy aliyeishi nae kwa miaka nane

Sasa kama amesha ishi naye miaka 8 pete ya uchumba ya nini,hapo kinachotakiwa ni kuoa tu hiyo stage ya pete ya uchumba wameshaivuka tayari,au mie ndio sielewi...
Ni ujinga tu.
Na ulimbukeni tulionao.
Kwamba na yeye alipitia formal way za uchumba na ndoa.
Hongera kwa muoaji lakini.

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Lovly

Sent from my HTC Desire 620 using JamiiForums mobile app
 
mpaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app

una umri gani?ili nikupe dira ya Ndoa
 
Siku hizi ni mwendo wa Kimarekanimarekani.......Anyway,hongereni sana.

Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
 
upuuzi mtupu. miaka 8 wanabanduana tu. huyo mwanamke ana moyo kudumu kwenye huo uchumba sugu
[emoji16][emoji23][emoji3][emoji16],mbavu zangu mie!!!uchumba sugu!!!hakyanani hii kiboko.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Naomba kuuliza kuhusu hili swala la wanaume kupiga magoti wanapo wavisha wapenzi wao pete za uchumba.Maana hii nikama mala ya pili au ya tatu kushuhudia hili swala sasa naomba kujua je? ni ndo destuli ya pete za uchumba .Au pete ya uchumba inaitaji unyenyekevu kiasi hicho ukilinganisha na pete ya Ndoa huwa sioni vitu kama hizi.
 
Miaka 8 bado anamuita mchumba tu?

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: SDG
Mwanamke mvumilivu kwelikweli.

Miaka 8 si mchezo.

Safi sana.
 
Eti booking lol! Kuna watu wanafanya booking hadi first born anaingia chuo kikuu!!

Sent from my STUDIO SELFIE using JamiiForums mobile app
Mimi wng kasubiria miaka 6 na posa sijatoa bdo ila nxtyea ntamaliza kanisani

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…