AY kamua kurudi shule kusoma international business.....ni jambo zuri lakini mhh chuo alichoamua kuchukulia nondo mbona kama utata.....sijui labda wana JF mna uhakika na hiki chuo.....
http://www.learnit.co.tz/ .........
Ina maana msanii mkubwa kama ay hakupata watu wa kumshauri juu ya chuo kama hiki? nimeangalia wanatoa bachelor degree ya mwaka mmoja.....hii ni mpya kwangu.....
hivi tofauti ya elimu ya kitaifa na kimataifa ni nini?Yoyo kwa taarifa yako. LearnIT ni chuo kizuri sana na pia elimu yake ni ya kimataifa kwani kinashirikiana na NCC education -UK mitihani na assigments zote zinatoka NCC Education, na uziru wake ukosoma pale unauhakika wa kuendelea na elimu ya juu zaidi hata nje ya nchi. mimi nimesoma hapo na kwa sasa nafanyakazi nzuri tu. ni watu wengi sana wamesoma hapo na wamepata ajira nzuri sana.
Pia chuo kinatambuliwa na wizara wa elimu.
Hii system mpya basi bongo......nijuavyo hakuna diploma ya mwaka 1 na adv diploma tanzania......diploma ni miaka miwiloi na adv diploma ni miaka mitatu.....Hiyo bachelor Degree sio mwaka mmoja, yaani ni lazima uanzie na Diploma mwaka mmoja, Advanced Diploma mwaka Mmoja na Degree ni mwaka mmoja jumla ni miaka mitatu. huwezi kuanza na degree moja kwa moja bila ya kuanzia Diploma.
nenda hata CBE leo na o level ya division one uone kama utakubaliwa ku join diploma....hapo unaanza na certicate mwaka 1 then ndio unaenda diploma miaka miwili.....muulize Ally mayai alianzia wapi....au Bonny pawasa..wale woote walikuwa form 4...Course Duration and delivery method
1 year full time / partime option available. Classroom based
Course Structure
Entry Requirement - International Diploma in Computer Studies
The entry-level qualifications are as follows:
- Minimum academic requierement is O Level or GCSE grades A to C (or national equivalent) in four subjects including English.
bwa ha ha ha wewe nawe bana.......ndio maana kuna kitu kinaitwa accreditation......hujasikia fake university kijana? ulizia watu waliopo majuu watakuambia......wanaviita vyuo vya wanaijeria......Hakuna chuo kibaya bali kuna wanafunzi wabaya au hata walimu.....kokote msuli unatoka, ud ni chuo kizuri? Watu wanakaa chini hadi juu ya mti kusikiliza leacture?
Hakuna chuo kibaya bali kuna wanafunzi wabaya au hata walimu.....kokote msuli unatoka, ud ni chuo kizuri? Watu wanakaa chini hadi juu ya mti kusikiliza leacture?
wajinga ndio waliwao....watz wameshaozea kulizwa......bado nipo anasema graduate wanafanya kazi nzuri.....ndio kipimo chake....ngoja naanza kusoma posts zake tangu ajiunge nipime IQ yake...Hivi kwa kweli tutalizwa wengi kwanini TCU ilikuwa ngumu kwa Kampala University sasa hivi vyuo vingi tu vinatoa degree za kila aina mbona mie sielewi, vyuo vipi ni accredited hapa Tanzania?
Jamaa ana chumvi kinoma. Hajasoma UD anasikia tu nae ankuja kutoa hoja. Mlimani watu wanakaa juu ya miti kusoma? Si kweli,hata mambo ya kusikilizia lecture madirishani hayapo.hapa mkuu umezidisha chumvi, juu ya mti?
Jamaa ana chumvi kinoma. Hajasoma UD anasikia tu nae ankuja kutoa hoja. Mlimani watu wanakaa juu ya miti kusoma? Si kweli,hata mambo ya kusikilizia lecture madirishani hayapo.
unajua mambo mengine sie wananchi ndio tunaendekeza....sasa chuo cha kisanii kama hiki watu kama badonipo wanakipa airtime wakati inaonyesha wazi wazi kuwa ni cha kisanii....hata diploma ya DIT pale ya miaka mitatu, katika kila mwaka kunakua na level yake, sasa hawa mwaka 1 duh?, ila ndio kama mtu mmoja alivyosema tz tunapenda njia za mikato, lakini bora alivyoenda hapo, angekwenda vyuo vyetu vya umma hivi ile kufika angeliwa kichwa kwanza, maana pale hawaangalii supastaa wala nini!
nasikitika mtu kama AY hakumuona mwenzie mwanaFA kasoma IFM kinatambulika......na utakuta chuo hiki wanakamuliwa mihela mingi na wabongo ukitaka uwalize wewe wauzie kitu kwa bei kubwa ndio wanaona orijino.....