O level alichukua ufundi umeme na kupass vizuri sana....sio FA pekee, washkaji kibao, kina Cpwaa, Nura waekula nondo IFM, kuna DKnob alikua pale CBE etc.
nahisi jamaa kwanza alikua anatafuta ujiko coz ya hiyo title "International Diploma ...blah blah", pili hana mpango wa kuingia kwenye soko la ajira bongo, yani asome tu aonekane kasoma kwa kua anagamba linalotambuliwa na NCC, sina uhakika na pass zake za olevel kama zinamruhusu kutia timu japo IFM!
wewe mlokole fake simjui ay zaidi ya kusikia nyimbo zake....ningejuaje anataka kurudi shule? hebu tupishe huko
O level alichukua ufundi umeme na kupass vizuri sana....
UniversitiesHivi kwa kweli tutalizwa wengi kwanini TCU ilikuwa ngumu kwa Kampala University sasa hivi vyuo vingi tu vinatoa degree za kila aina mbona mie sielewi, vyuo vipi ni accredited hapa Tanzania?
Sawa sawa Kamanda....yah man nimekumbuka ifunda hio.....
si kweli mkuu, hizi ni certifications tu za microsoft, ambazo mtihani huwa ni mmoja iwe uko china, india, tz, us, uk etc!, pepa zinafanywa online from one centre. hata UCC zipo.Naamini kile chuo kinatoa elimu bora...watu wengi system adminstrators,MCSE,MCDBA wanatoa hawa wahidi.?Did u see this IFM?
hapana mkuu..Mhh Yoyo.....una chuki la Learn IT
mkuu nakubaliana na wewe IT sio lazima uwe na degree ni sawa na kuwa accountant sio lazima uwe na BBA au Bcom unaweza kusoma from foundation mpaka CPA na wengi nimewaona....
kitu hapa kilichonitia shaka mkuu ni mfumo wao....hebu angalia kuna diploma ya mwaka mmoja tz? wapi tz umeona diploma wanachukua mtu mwenye form 4?
umeona degree ya mwaka mmoja? hii mpya nimeona learn It tu....mtu yeyote lazima uwe na mashaka mkuu....
.....mkuu hakuna degree ya mwaka mmoja duniani unless zile za 'kichina'
mimi mkuu ndio natatizika hapo......mkuu kwa mfumo ule wa elimu ya learnIt zile international business sijaona diploma ya mwaka mmoja tanzania unless kama wamebadili system ya elimu......mkuu hebu pitia web ya learnITIla YoYo what happen sikujua kama ungeweza kuja na this topic...je wataka kupata uhakika wa chuo kuwa ni feki?
hizo mkuu sina tatizo nao najua vijana wanakula nondo za uhakika......lakini kule kwingine sijui degree ya mwaka 1 na diploma ya mwaka mmoja kwa form foo liva sikubaliana nao....Naamini kile chuo kinatoa elimu bora...watu wengi system adminstrators,MCSE,MCDBA wanatoa hawa wahidi.?Did u see this IFM?
si kweli mkuu, hizi ni certifications tu za microsoft, ambazo mtihani huwa ni mmoja iwe uko china, india, tz, us, uk etc!, pepa zinafanywa online from one centre. hata UCC zipo.
hata hapo Learn IT, newhorizon, iit etc hazifundishwi kwenye syllabus.
siku hizi ukitaka kugombana na watu waambie kuhusu chuo walichopitia hata kama ni kibovu watatetea saaana, si unakumbuka wale wa sua walivyo mshukia kipanya alivyo wachora?
Yoyo
. Mbona chuo cha ESAMI makao makuu yapo arusha nadhani kinatambulika kimataifa, tawi lake lipo hapa dar wanatoa Diploma mwaka mmoja evening classes. na advanced diploma miaka miwili.
lakini mpaka uwe na certificate ya course husika.
Yoyo
. Mbona chuo cha ESAMI makao makuu yapo arusha nadhani kinatambulika kimataifa, tawi lake lipo hapa dar wanatoa Diploma mwaka mmoja evening classes. na advanced diploma miaka miwili.
lakini mpaka uwe na certificate ya course husika.
honie nimeangalia sijaona sehemu ya diploma ya mwaka esami na sijaona kama wanatoa adv diploma ila wanatoa higher diploma...hebu..Yoyo
. Mbona chuo cha ESAMI makao makuu yapo arusha nadhani kinatambulika kimataifa, tawi lake lipo hapa dar wanatoa Diploma mwaka mmoja evening classes. na advanced diploma miaka miwili.
lakini mpaka uwe na certificate ya course husika.
Higher Diploma in Management and Administration (HDMA) - The programme targets holders of Diploma in Management and Administration as well as any other equivalent diploma programmes.
Diploma in Management and Administration (DMA) The Diploma targets graduates of certificate in Management and Administration or holders of any other equivalent certificate programmes.
Mie choka kabisa sielewi, IMTU nayo sio accredited! so mbona mpaka Masters wanatoa!??lakini si kuna ile TUC sasa inafanyia kazi kitu gani au nako huko kuna UFISADI?
Mie choka kabisa sielewi, IMTU nayo sio accredited! so mbona mpaka Masters wanatoa!??
KIU? sasa mbona serikali haieleweki, kwanini havifungiwi?