AY arudi shule; kujiunga na chuo fake?

Kwa uandishi huu inatia mashaka sana kama hicho chuo kinatoa elimu bora.
 
Bro naomba unijuze kuhusu hii elimu ya ncc kwa sasa jee bado ni genuine na naweza kuvitumia vyeti vyangu hata kuombea ajira sehemu mbali mbali ikiwemo serekalini na nikatambulika?
 
Hiyo bachelor Degree sio mwaka mmoja, yaani ni lazima uanzie na Diploma mwaka mmoja, Advanced Diploma mwaka Mmoja na Degree ni mwaka mmoja jumla ni miaka mitatu. huwezi kuanza na degree moja kwa moja bila ya kuanzia Diploma.
Ebo!! Kumbe hadi zamani kulikuwa na watu wa aina hii!?
 
Hiyo bachelor Degree sio mwaka mmoja, yaani ni lazima uanzie na Diploma mwaka mmoja, Advanced Diploma mwaka Mmoja na Degree ni mwaka mmoja jumla ni miaka mitatu. huwezi kuanza na degree moja kwa moja bila ya kuanzia Diploma.
Sasa kwa hapa kwetu Tanzania mbona naskia hivi vyeti havikubaliki na vimesha anza kuwaletea watu shida makazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…