AY aupa kisogo muziki? Afungua bucha la nyama

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Bila haka siku moja ungependa kuhudumiwa na staa unayemhusudu. Taarifa zikufikie kwamba msanii Ambwene Yessaya maarufu kama AY amefungua bucha la kuuza nyama na unaambiwa yeye ndio muuzaji.

Picha hii hapa juu inaonesha mazingira ya bucha hilo ambayo hadi sasa bado hatujajua inapatikana maeneo gani. Mkali huyo wa Bongo Fleva ameonekana kuimudu vyema kazi yake mpya na anaifurahia, tunamtafuta AY kwa mahojiano zaidi na tutayaleta kwako ili kufahamu zaidi kazi hii mpya aliyoamua kuifanya.

my take": vijana tufungue macho zaidi.

 
Huyu si ndio walisema tajiri?!

Sasa mbona badala ya kufungua kiwanda kaenda kufungua bucha?!
 
Ila sio biashara nzuri sana kiroho huwa haina mwisho mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…