AY aupa kisogo muziki? Afungua bucha la nyama

Hiyo ni kideo....hivi anaweza kuuza nyama kwa mitupio hiyo?....chini kavaa moka kali nilidhani alipaswa kuvaa but!
 
Huyu sa hivi angekua level za akina diamond, juhudi zake za kutambulisha bongo flavour nje ya Tz zilikua kubwa sana.
 
Hiyo itakuwa teaser ya video hiyo siyo bucha na ndiyo maana hata mleta post hana taarifa ya kutosha bucha ilipo
 
Wasanii wa bongofleva wanafanana
Wakitaka kutoa nyimbo mpya inaanza na mapicha kisha waaandishi wanaitungia story picha, muda ukifika nyimbo inaachiww
 
Wasanii wa bongofleva wanafanana
Wakitaka kutoa nyimbo mpya inaanza na mapicha kisha waaandishi wanaitungia story picha, muda ukifika nyimbo inaachiww
Ndivyo entertainment industry ilivyo duniani kote.
Hata webzetu wakitaka toa movie utakuta teaser youtube, then trailer watabandika ma posters n.k
Same applied to music.
Ni marketing stratergy na kuwafanya watu wawe antention na hii kwasasa imeamia hata kwenye gadgets.
Huoni apple akitaka achia dude sometimes anavujisha picha na some details makusudi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…