AY aupa kisogo muziki? Afungua bucha la nyama

Ila sio biashara nzuri sana kiroho huwa haina mwisho mwema
Sijaona thread mzee.. ila nafikiria bas hata tunaokula nyama kiroho hatuko sawa ikiwemo wewe au hujawahi kula nyama mzee? Mana anayekata nyama anamkatia anayeenda kula nyama iliyokatwa..! Nawaza kwa sauti tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…