Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Wakati Jana utoaji wa tuzo za MTVMama ambazo zimetolewa Afrika Kusini na ambazo hakuna Mtanzania hata moja aliebeba tuzo ,usiku huo huo wa Oct 22 kuamkia Oct 23 nchini Marekani kulikua pia kukitolewa tuzo ambazo Watanzania wenzetu pia walishiriki.
Tuzo ambazo zilitolewa marekani zinajulikana kama African Entertainment Awards Usa 2016 (AEA) kitu kizuri na kikubwa ni kwamba Watanzania wenzetu wameshinda pia kwenye tuzo hizo kwenye baadhi ya vipengele
1.msanii bora wa kiume - Diamond Platnumz.
2.Msanii bora anaechipukia - Harmonize
3. wimbo bora wa kushirikiana-Zigo ya AY & Diamond platnumz
4.DJ Bora - Dj D Ommy