AY, Diamond, Harmonize na Dj D-Ommy washinda tuzo za AEA za Marekani

Mimi ni mtu wa ushahidi na hapa nina tumia simu mara nyingi huwa natumia Laptop au Desktop huku niko mbali sana na home na hii cm haina uwezo wa kuzurula mitandao mingi kwa wakati mmoja,kwahiyo siwezi kukutafutia linki za ushahidi,ila wewe nimesha kukariri na nikikuletea linki uwe na shobo hivohivo za kuni quote.
 
Haina noma mkuu, ushahidi ndio suluhisho la ubishi, me nasubil na ikibidi ulete na link ya mshiko wa mtvmama tuweke mambo sawa zaidi
 
Haina noma mkuu, ushahidi ndio suluhisho la ubishi, me nasubil na ikibidi ulete na link ya mshiko wa mtvmama tuweke mambo sawa zaidi
We acha ujinga, huna hadhi ya kubishana na mimi,labda useme wewe ndio unabishana na mimi,ila mimi sibishani na wewe.
 
Hizo tuzo zimeandaliwa na promotor na hazipo hata kwenye list ya tuzo zinazotolewa u.s.a
Huko tunakoendelea hata babutale atakua na awards zate ..
Hizo tuzo zimeandaliwa na promotor na hazipo hata kwenye list ya tuzo zinazotolewa u.s.a
Huko tunakoendelea hata babutale atakua na awards zate ..
Unataka nikuandalie colabo na R KELLY maana povu linakutoka.
 
We acha ujinga, huna hadhi ya kubishana na mimi,labda useme wewe ndio unabishana na mimi,ila mimi sibishani na wewe.
Heeee imekuwa ujinga tena mkuu mbona unapanic sana wakati issue ni kutaka kunisahihisha tu, ila hadi utumie lugha mbaya, we lete link hayo mambo mengine sio mpango
 
Haina noma mkuu, ushahidi ndio suluhisho la ubishi, me nasubil na ikibidi ulete na link ya mshiko wa mtvmama tuweke mambo sawa zaidi
Njoo uendelee kuni Quote maana mimi kuongea kwa USHAHIDI NDIO HASILI YANGU,na hapa nimekutafutia nahaka kakimeo ngoja siku nikirudi nikupe mawe ya maana. KUMBUKA HIZO TUZO ZILIAHIRISHWA, NA ZAWADI YA JUU KABISA ILIKUWA NI $ 1,000,000. NA WALE WENGINE NI $ 50,000. ILA KAWAIDA YAO,HUWA HAKUNA ZAWADI YA $ 1M ZIPO HIZO ZA $ 50,000 - $100,000.
KORA 2016: Wapigie Kura Wanamuziki wa Kitanzania
 
Heeee imekuwa ujinga tena mkuu mbona unapanic sana wakati issue ni kutaka kunisahihisha tu, ila hadi utumie lugha mbaya, we lete link hayo mambo mengine sio mpango
Acha woga,komenti namba #51 nimekuwekea majibu,ila nakuomba uendelee kuni quote.
 
Duhhh me nilizani unaniletea link ya watoaji wa hizo tuzo hatma yake unaleta link ya jamii forum seriously? Yani unalichofanya, mfano huu kwamba me nimemwambia mtu kuwa mondi kwenye hizo tulizokuwa tunaongelea anachukua dollar 50000 alafu ye abishe then me nimlete kwenye huu uzi nimuoneshe post yako kama ushahidi, km ana akili timamu ataamini kweli?

Hapo bado hujatoa ushahidi ispokuwa umezunguka tu, we leta link ya watoa hizo tuzo nione kuwa wameandika hiyo tuzo aliyoshinda simba anakula dollar 50000 tofauti na hapo ndo yale yale tu, we unatazunguka weeee ila ukweli ndio huo hakuna tuzo tofauti na kilimanjaro zinazotoa hela kwa washindi, ata mtvmama hakuna hela kwa washindi, we si unajifanyaga mtu wa karibu na Diamond muulize mwaka jana alipewa shingapi
 
Natamani kujua elimu yako,ila naogopa kwa vile Lipumba keshaitia dosari. Ok ngoja nione kama nitaweza kukuelimisha,maana ualimu siupendi mpaka basi. Naongea kwa maandishi makubwa, UMESEMA A.Y KASEMA KUWA "HAKUNA TUZO DUNIANI KOTE ZINAZOTOA PESA ZAIDI YA KTMA" SASA MIMI NILICHOKIFANYA KWANZA NI KUKUONYESHA KUWA ZIPO TUZO ZINAZOTOLEWA NA PESA NA MFANO WA KWANZA NI HUO WA KUKUPA NA LINKI ILI UONE KUWA ZIPO. Na ndio maana kwanza nilikuambia Trump kasema wewe ni NYANI na unatakiwa kutawaliwa we unaonaje ..... Maana yake ni kwamba kama kusema hata wewe unaweza kusema,sio kila linalosemwa na mtu fulani maarufu BASI WEWE UNALIMEZA KAMA LILIVYO UNAFELI TAFUTA UDHIBITISHO.
 
aache utoto kuratibu tuzo sasa resource anazo afanye mzik wa maana sio nyimbo unatoa week haijaisha ishachoka maaa iatumika ngvu kubwa kupromote come on mondi
 
Kashfa hazitokusaidia mkuu sana sana we ndio utaonekana kiazi tu, kwani shida iko wapi, we weka link ya watoaji wa tuzo, kwani huyo aliendika huo uzi wa tuzo za cora ye aliota au aliona sehemu? Basi kama we ndio ulieandika ule uzi basi leta link ya ulipotoa hizo taarifa ya kwamba mshindi wa continent eti anapata dollar 1,000,000 hivi uko serious bro? Yani wakupe bilion karibia mbili kisa umeshinda tuzo, acha uvivu wa kufikili wewe sio kila unachokiona we unakivamia tu kama kilivo
 
Nimekuambia mimi sio mwalimu,na ninauchukia. NA KWA KOMENTI HII MAANA YAKE
1.maelezo yangu huyaweki kichwani.
2.Hiyo linki hujaifungua na hujaisoma.
3.Wewe ni mgumu kuelewa.

MAANA UNGESOMA UNGEJUA KILIENDELEA NINI KUHUSU HIZO TUZO, NA HUSINGENIULIZA.

LAKINI CHA KUKIWEKA KICHWANI NI KUWA TUZO ZINAZOTOLEWA NA PESA ZIPO TENA NI NYINGI TU NA HUYO A.Y WAKO KAKUONGOPEA,LABDA ANGESEMA BAADHI YA TUZO LAKINI SI ZOTE KAMA ALIVYOKUONGOPEA WEWE NA HAO KORA NDIO KAWAIDA YAO WANATOA TUZO NA PESA.
 


We tuzo zimekisaidia nini??
 
Umeshindwa kuweka link ya hizo tuzo za AEAUSA, MTVMAMA na hata hizo KORA tuone walipoandika malipo ya washindi basi mkuu haina haja ya kuendelea ku-quotiana hapa maana maneno mengi ila unaruka ruka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…