AY Kusomea kazi ya Urubani

qn of sheba

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
3,230
Reaction score
1,380
Msanii AY kaohijiwa na Citizen Tv muda mfupi uliopita anasema ndoto yake ikikuwa awe rubani na sasa ameanza kusoma hiyo fani ajabu ajasema anasomea wapi maana anaona yuko busy na show tu za nje.
 
Anasomea akiwa jukwaani kwenye show

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Kujifunza u pilot wa ndege ndogo binafsi ni kitu cha kawaida kama una pesa za kulipia mafunzo.
 
mtu hata knowledge ya elementary physics hana, matrajectory advanced atayaweza? ngoja tuone
 
mtu hata knowledge ya elementary physics hana, matrajectory advanced atayaweza? ngoja tuone

Acha vitisho ndugu....ndege ndogo watu wanajifunza tu mbona...kama una pesa ukanunua ndege ndogo unaendesha mwenyewe bila tabu.
 
Na hata muuliza swali (mrembo wa Citizen,bi Kanze Dena) alimwambia AY "nasikia unajifunza urubani"...so ni kwamba jamaa alishaanza na anaendelea na mafunzo hayo ni kwamba tu hatukua tunafahamu.

Ingekuwa ni ndugu Almasi mbona tungeshajua long time.....
 
Hakuna tatizo lolote anaweza kujifunza na anaweza,watu wanajua urubani ni kozi ngumu saaaana,hapana ni kozi kawaida tu ila gharama zake ni ghari sana ndiyo maana wengi wetu hatumudu.
 

almasia alienda kusoma English kozi Dunia nzima ikajua..
 
Mimi mwenyewe naendesha ndege ndogo. Mbona uku watoto wa miaka 15 wanaziendesha.

AY mngemuuliza vizuri labda yeye alimanisha kuendesha kwenye computer games.

Ila kila kitu kinawezekana
 
Mimi mwenyewe naendesha ndege ndogo. Mbona uku watoto wa miaka 15 wanaziendesha.

AY mngemuuliza vizuri labda yeye alimanisha kuendesha kwenye computer games.

Ila kila kitu kinawezekana

Microsoft Flight Simulator
 
Waafrika tuna hulka za kichawi. Puuuuuuuuuuuu aachwe ambwene apumzike kha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…