sisi watanzania tumekuwa tukilia lia kuwa wakenya wanatudhulumu vitu vingi sana kama vile mlima kilimanjaro, madini ya tanzanite na kadhalika, lakini leo nimeshangaa baada ya kumuona AY amevaa kofia yenye bendera ya kenya katika video ya nyimbo ya IZZO bizness iitwayo miss bizness, hii imekaaje? naona kama vile anawatangaza wakenya tuu badala ya kujivunia Utanzania wake

Hiyo ni marketing ndugu, ikiwa jamaa ana-target Kenya kama moja ya consumers wa product zake basi lazima ajitahidi ku-design product ambazo zitawavutia watumiaji wake. Mara nyingine Man u wanamsajili Kagawa/Park ku-mainatain mashabiki wa East Asia....:alien::alien:
Nadhani wewe na yeye wote hamjitambui angeweza kutafuta hayo masoko kwa njia nyingine bila ata kutangaza bendera ya taifa jingine ndo mana ata AKON kila kukicha na bendera la TAIFA lake SENEGAL au ukuwaona TEVEZ na AGUERO walivyokuwa wanazunguka na bendera ya ARGENTINA siku MAN CITY wamechukua ubingwa pia mfano wa KAGAWA kusajiriwa MAN hauendani tungeweza kufananisha na MSANII wa TZ kumshirikisha MKENYA kwenye wimbo na si MTZ kuvaa bendera ya KENYA sababu MAN pamoja na kumsajiri KAGAWA uwa awazunguki wamebeba BENDERA ya japan.
Watch out your tone Mr conservative. Ungeweza sema tu hukubaliani na maoni yangu si ati sijatambui???..inaonyesha jinsi gani ulivyokuwa namtazamo juu ya mambo yanayokuzunguka.:alien:
Nadhani wewe na yeye wote hamjitambui angeweza kutafuta hayo masoko kwa njia nyingine bila ata kutangaza bendera ya taifa jingine ndo mana ata AKON kila kukicha na bendera la TAIFA lake SENEGAL au ukuwaona TEVEZ na AGUERO walivyokuwa wanazunguka na bendera ya ARGENTINA siku MAN CITY wamechukua ubingwa pia mfano wa KAGAWA kusajiriwa MAN hauendani tungeweza kufananisha na MSANII wa TZ kumshirikisha MKENYA kwenye wimbo na si MTZ kuvaa bendera ya KENYA sababu MAN pamoja na kumsajiri KAGAWA uwa awazunguki wamebeba BENDERA ya japan.
sisi watanzania tumekuwa tukilia lia kuwa wakenya wanatudhulumu vitu vingi sana kama vile mlima kilimanjaro, madini ya tanzanite na kadhalika, lakini leo nimeshangaa baada ya kumuona AY amevaa kofia yenye bendera ya kenya katika video ya nyimbo ya IZZO bizness iitwayo miss bizness, hii imekaaje? naona kama vile anawatangaza wakenya tuu badala ya kujivunia Utanzania wake
A.Y ndo nani uyo??
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Asante kwa kudhani mimi ni MUHAFIDHINA(conservative), ila sikuwa na neno jingine ambalo lingewafaa wewe na MWANAMUZIKI AMBWENE YESAYA zaidi ya hilo HAMJITAMBUI.
Je wewe unajitambua MKALITANZANIA.......aghrrrrr sorry I mean MKALIKENYA