AY mmiliki wa kipindi maarufu cha MKASI

AY mmiliki wa kipindi maarufu cha MKASI

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
416
Kama ulikua hujui nakupenyezea hii taratiiiibu kwamba msaani maarufu A.Y ndie anaekimiliki kile kipindi matata cha MKASI.

Kinachoendeshwa na Salama Jabir.
 
Pole sana kwa kuchelewa kulijua hilo
 
Ficha upumbafu wako kwani wanaotoka mpitimbi wapoje?

mkuu kwani wewe unatokea mpitimbi? nasikia huko watu hawajui hata magari na ukiwauliza rais wa tanzania kwa sasa watakwambia ni nyerere
 
Umeanza kumiliki lini smartphone
Habari ya zamani.hii
 
kama ulikua hujui nakupenyezea hii taratiiiibu kwamba msaani maarufu A.Y.ndie anaekimiliki kile kipindi matata cha MKASI.kinachoendeshwa na salama jabir.

Naimani 100% we ni UKAWA damu
 
Back
Top Bottom