kama ulikua hujui nakupenyezea hii taratiiiibu kwamba msaani maarufu A.Y.ndie anaekimiliki kile kipindi matata cha MKASI.kinachoendeshwa na salama jabir.
umetokea ruvuma mpitimbi nini
umetokea ruvuma mpitimbi nini
Ficha upumbafu wako kwani wanaotoka mpitimbi wapoje?
Hii habari ya mwaka 97 unaileta leo humu?kweli akili yako imejaa diamond tu
umetokea ruvuma mpitimbi nini
Ficha upumbafu wako kwani wanaotoka mpitimbi wapoje?
Pole sana kwa kuchelewa kulijua hilo
Umeanza kumiliki lini smartphone
Habari ya zamani.hii
Umeingia lini mjini....????
kama ulikua hujui nakupenyezea hii taratiiiibu kwamba msaani maarufu A.Y.ndie anaekimiliki kile kipindi matata cha MKASI.kinachoendeshwa na salama jabir.