Huyu jamaa Ambwene Yessaya ana wimbo wake mpya unaoitwa 'Speak with your body'. Huo wimbo una vionjo vya wimbo wa 'Teamo' wa mwanadafada Rihanna. Tetesi ni kwamba mwanadafada amepata nyuzz za wimbo wake kufanyiwa ufisadi na nasikia amemaindi kinomanoma. Habari chini ya kapeti zinanyuti kuwa wanasheri wa Rihanna wanapanga kumfungulia kesi Ambwene kwa kuiba vipande hivyo vya wimbo. Sasa najiuliza huyu dogo atatoka kweli hapa?
ameimba kiswahili au kidhungu? Isije kuwa kama movie za kibongo title ya wageni huku lugha ndani kiswahili
<br />ameimba kiswahili au kidhungu? Isije kuwa kama movie za kibongo title ya wageni huku lugha ndani kiswahili