elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,261 Reaction score 9,733 Jan 9, 2012 #1 nimefurahishwa na track mpya ya ay na nimegundua ni bora awe anafanya track na wasanii wa afrika mashariki kuliko wa marekan maana track zake na wasanii nje ya east afrika znakuwa ovyo.
nimefurahishwa na track mpya ya ay na nimegundua ni bora awe anafanya track na wasanii wa afrika mashariki kuliko wa marekan maana track zake na wasanii nje ya east afrika znakuwa ovyo.
A assa leonard Member Joined Jan 8, 2012 Posts 15 Reaction score 2 Jan 9, 2012 #2 kweli kabsa naona Mshkaj ana ksmat na wasanii wa nje na nyota ya kupendwa ila kroho safi nymbo zake hazniipres hata kdogo
kweli kabsa naona Mshkaj ana ksmat na wasanii wa nje na nyota ya kupendwa ila kroho safi nymbo zake hazniipres hata kdogo