Feza hajui kuimba huo ndio ukweli anaforce tu fani hata huko South anachoimba hakieleweki.. na uhusiano wake na Oneal umeisha.. sasa hv kajipeleka Zambia kurekodi na Macky two na Sulu..huyu dada bora tu atafute kazi ya proffesional afanye basi hata utangazaji maana hana hata kipaji kuigiza nako hajui.