Aya ipi katika maandiko matakatifu inaharamisha au kuhalalisha ulaji wa kambale?

Aya ipi katika maandiko matakatifu inaharamisha au kuhalalisha ulaji wa kambale?

Aya ipi ndani ya maandiko matakatifu inayoharamisha au kuhalalisha ulaji wa kambare?

Karibuni wenye ilimu mtupe elimu.
 
Achana na Kula Kambale,,Kuwa mvumilivu Tu Uone Utavyozibonyeza Mbivu,,Achana na ya maandiko.
 
Kwa dini gani?
Haram za Waislam sio sawa na za Wakristo!

Kwenye Uislam, samaki na nzige ni halali hata kama ni vibudu ( Hawachinjwi anyway)
Christain, kila kiingiacho ni halali! Hata nyoka!
 
Back
Top Bottom