U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Nov 21, 2024 #1 Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni wenye ilimu mtupe elimu
U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Nov 21, 2024 Thread starter #2 Aya ipi ndani ya maandiko matakatifu inayoharamisha au kuhalalisha ulaji wa kambare? Karibuni wenye ilimu mtupe elimu.
Aya ipi ndani ya maandiko matakatifu inayoharamisha au kuhalalisha ulaji wa kambare? Karibuni wenye ilimu mtupe elimu.
Palmoni JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 1,968 Reaction score 3,760 Nov 21, 2024 #3 Achana na Kula Kambale,,Kuwa mvumilivu Tu Uone Utavyozibonyeza Mbivu,,Achana na ya maandiko.
T Truth Matters JF-Expert Member Joined Apr 12, 2013 Posts 2,302 Reaction score 4,603 Nov 21, 2024 #4 Kwa dini gani? Haram za Waislam sio sawa na za Wakristo! Kwenye Uislam, samaki na nzige ni halali hata kama ni vibudu ( Hawachinjwi anyway) Christain, kila kiingiacho ni halali! Hata nyoka!
Kwa dini gani? Haram za Waislam sio sawa na za Wakristo! Kwenye Uislam, samaki na nzige ni halali hata kama ni vibudu ( Hawachinjwi anyway) Christain, kila kiingiacho ni halali! Hata nyoka!