Aya wadau wa jamii forum nafanya derivery ya vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo popote ulipo nakufikia kwa bei ya jumla.

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Karibuni mnisupport wadau wenzangu.
Mawasiliano 0769 055050

Nipples za kuku na nguruwe.
 

Attachments

  • 20240907_152918.jpg
    343.3 KB · Views: 4
  • 20240921_143536.jpg
    367.6 KB · Views: 4
Mia nauza mitego kwa ajili ya kuuwa wadudu wa wanaoshambulia miti mbalimbali ya matunda na matunda kama matikiti, maembe, parachichi na n.k

bei ni tsh. 9,000 tu/=
Kwa wale wa mikoani gharama za usafiri ni juu yako.
 
Taa za joto za kuku
Watts 150 na 250 zipo
Tsh. 14,000/= watts 150
Tsh. 15,000/=watts 250
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…