Aya Wasomi,fafanueni Hili Linalo Nisibu!!.... No No Nooo! wote Inawahusu Jamani!!

Arnold Ndosi

Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
65
Reaction score
3
Eti,mbona Vyuo Vikubwa Kama Udsm Vimegawanyika Katika Sehemu Kuu Tatu?.cheki;-
1:institutes
2:collages
3:schools
Kama Unajua Chochote Kuhusu Hili Naomba Unifafanulie Tofauti Za Dhana Hzo Hapo Juu.
 
eti,mbona vyuo vikubwa kama udsm vimegawanyika katika sehemu kuu tatu?.cheki;-
1:institutes
2:collages
3:schools
kama unajua chochote kuhusu hili naomba unifafanulie tofauti za dhana hzo hapo juu.

ushauri kwako na kwa wengine wa mwaka wa kwanza ..wiki ya kwanza chuoni ni wiki ya orientation /ni wiki kufahamu mazingira ya chuo na kufanya usajili nikiwa mwaka wa kwanza chuoni(udsm) watulifanyia hii kitu kuna ratiba kabisa unapewa inayoonyesha orientation wiki inakuwaje na unatakiwa ufanyaje huku maswali mengi kama hili lako huwa yanajibiwa sana ..utapata fursa ya kukutana deans of students ,principle wa college, head wa schools wakuu wa institute
sasa huu ni wakati muafaka wakuwauliza maswali kama haya
watu wengi huwa hawashughulikagi na hii ratiba ya orientation huwa wanafanya mambo yao na ndio maana huwa inachukua muda mrefu hata kufahamu lecturer theatre
nimeamua kujibu kwa namna hii ili uwe mdadisi ukifika chuo
nakutakia masomo mema
regards
 
kama Maganga Mkweli alivyosema hapo juu...embu tufike chuo then yote haya tutajua...kwa nnavyojua university inaundwa na colleges mbal mbali mfano college of engineerin an technology(coet) ya pale ud..kuhusu institute cna hakika sana vivyo hivyo kwa schools....yako mengi sana kuna hii kitu ina inaitwa facult japo ni mjumuiko wa programs mbali mbali....hata nlivyokua mtoto nlikua sijui maana ya maths wala physics wa geography bt now i know them...hata hizo college sijui nini mda utafika tutajua.....
 
Last edited by a moderator:
Vyuo vikuu vimegawanyika ili kurahisisha utendaji vyuoni. Mfano UDOM kimejegwa katika mfumo wa colleges (College Mode). kutoka college moja kwenda nyingine unahitaji usafiri.Colleges za UDOM ziko 6.
1. Informatics & Virtual Education
2. Education
3. natural & mathematical Sciences
4. Social Sciences & Humanities
5. Health & allied Science na
6. Earth Sciieces.

Masuala mengi huishia huko kwenye colleges ambapo mkuu wa college anaitwa Principal.
 
Sidhani kama chuo kimoja kinaweza consist vyote colleges na schools,kwa vyuo vikubwa wa colleges vidogo schools
 
Sidhani kama chuo kimoja kinaweza consist vyote colleges na schools,kwa vyuo vikubwa wa colleges vidogo schools

UDSM ina vyote mkuu institute eg. IKS...schools eg.UDSL,UDBS...colleges eg.CONAS,COET....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…