Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
...kumbe!Alikuwa anawazungumzia wabunge waliokimbia bungeni sababu ya Corona alafu wamerudi na Corona bado ipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimsikiliza huyu unabidi uwe na akili zako za kuchambua mchele na mawe la sivyo utapotea.Kwa mujibu ya Kiongozi wa Nchi fulani huko Duniani amewapiga kijembe Viongozi wa kanda yake kwa kuwakumbusha kwamba; AYAPAMBANIAYE MAISHA YAKE ATAYAANGAMIZA.
Wajuvi,kauli hiyo inapeleka ujumbe gani kwa Viongozi wenzake!?
Kwa Tanzania Museveni ni mtoto wachumbani.Katupia dongo lake!..kumbe mseveni ankula sahani mbiliππππ
hapohapo anakuambia korona ni vita kama vita nyingine. so weird this man. ni vita gani inapiganwa bila mapambano?
Hii nimeipenda sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mujibu ya Kiongozi wa Nchi fulani huko Duniani amewapiga kijembe Viongozi wa kanda yake kwa kuwakumbusha kwamba; AYAPAMBANIAYE MAISHA YAKE ATAYAANGAMIZA.
Wajuvi,kauli hiyo inapeleka ujumbe gani kwa Viongozi wenzake!?