The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mzuqa
Utawala wa kero na maigizo wa akina Ayatollah Iran imeilaumu vikali na kuisingizia taifa la Israel na Marekani kusababisha wa Iran wengi kutojitokeza kupiga kura katika uchaguzi wa Wabunge kwasababu ya coronavirus.
Wanadai maadui wa Iran Israel na Marekani wameingiza virusi hivyo Iran na kuleta rabsha, uoga na hofu na kusababisha wairan wengi wasijitokeze kwa wingi kupiga kura.
Akina Ayatollah bana.
thehill.com

Iran blames virus ‘propaganda’ for low voter turnout
Iranian Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei blamed the country’s low voter turnout on “negative propaganda” by Iran’s enemies about the threat of the spreading coronavirus. “This negative pr…