Ayatollah Ali Khamenei aongezewe ulinzi

Iran Hana haja ya kuongeza ulinzi kisa taifa uchwara lolote. Kinachofanyika akifa kiongozi analiplace kiongozi mwengine huku uchunguzi unaendelea ikibainika kuna kimburu kahusika anapay the price maisha yanaendelea watu hufa
 
Kwanza nitoe pole Kwa taifa la Iran Kwa kumpoteza Kiongozi wao,

Pili, inafaa Ulinzi uimarishwe Kwa Ayatollah Ali ili kumlinda na mashambulizi ya maadui ambao dunia inawajua Ila ndo vile
haya tutamlinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…