Wacha uwongo wewe kuchelewa kuzikwa kunawezekana kama mpo kwenye vita lakini sheria ya Kislam maiti azikwe harakaKama waislamu walikuwa wakizikana haraka baada tu ya mtu kufariki ilikuwa ni kwa sababu hakukuwa na namna ya kuweza kuhifadhi mwili kwa muda mrefu kwa sababu hakukuwa na teknolojia yoyote ya kuweza kuhifadhi maiti kwa muda mrefu na wala sio kwamba leo hii ni lazima mtu akifa azikwe haraka.
Leo hii huku Afrika muislam akifa inatakiwa azikwe haraka hii ni kwa sababu ya kukariri tu na wala sio kwamba ni matakwa ya dini.
Vita gani? Vita ilishasitishwa toka AprilWacha uwongo wewe kuchelewa kuzikwa kunawezekana kama mpo kwenye vita lakini sheria ya Kislam maiti azikwe haraka
Nikikuambia muosha vyoo atabaki kuwa muosha vyoo hata ufanye vipi ujinga utatembea nao.Acha ujinga wewe mbona mizoga mingine mliikuwa mnaizika tu huu mzoga wa Khamenei ulikuwa na nini?
Kama dini inasema ukifa moja uzikwe sasa huyu Gaidi unataka kutuaminisha ni Mkuu kuliko Dini?Nikikuambia muosha vyoo atabaki kuwa muosha vyoo hata ufanye vipi ujinga utatembea nao.
Sa wewe unamfamanisha Ayatollah Ali Khomen na hao wengine walio zikwa huyo ni kiongozi wa nchi na wadini hapo hapo.
Nikikuambia kenge atabaki kuwa kenge unabisha eti anaweza kuwa mamba kwa ukebge wako utaota kufikia level ya mamba.
Kumbe hakuzikwa ?..Utawala tawala wa Iran umetangaza kipindi cha siku tatu cha maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Kiongozi Mkuu Ayatollah Ali Khamenei.
Maafisa pia wamefichua mipango ya mazishi makubwa ya kitaifa, ambayo kwa sasa yanatarajiwa kufanyika katikati ya Juni 2026.
Sherehe zimepangwa kufanyika Tehran, Qom, na Mashhad, ambapo Khamenei anatarajiwa kuzikwa. Msafara mkuu wa mazishi huko Tehran unatarajiwa kuendelea kwa zaidi ya saa 24.
Kulingana na Naibu Meya wa Tehran, mamlaka zinajiandaa kwa kile kinachoweza kuwa moja ya mikusanyiko mikubwa zaidi ya umma katika historia ya nchi, huku makadirio ya mahudhurio yakifikia hadi watu milioni 20 katika matukio yote ya mazishi.
Magaidi dawa yao ni kuuwawa tu kukata mzizi wa fitina!!!!
Hakuzikwa kwa sababu kulingana na dini yake yeye aliuliwa na wanajeshi wa kike waliokuwa wanarusha ndege hivyo kupelekea kifo chake. Hivyo inabidi afanyiwe ibada maalumu ili astahirishwe kuwa Shaheed( Hii ni mjibu wanavyodanganyana wao kwa wao)Kumbe hakuzikwa ?..