Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 249
Mke wa mchezaji mahiri na wa Basketball,; Steph Curry, katika mahojiano na chombo kimoja cha habari amedai kwamba anashangaa na wakati mwingine anasikitika kwanini tangu ameolewa na mumewe hajawahi kutongozwa na mwanaume yoyote mwingine, anasema jambo hilo linamsikitisha na anahisi kuna tatizo.
Nini maoni yenu wadau
Ameshindikana na nini mkuuDaahh tuacheni masihara ..nime watizama kina Michael Jordan ..Rodman. na manguli kibao wa mchezo wa kikapu .
Ila dahh huyo stephen curry ni genius ameshindikana
Jamaa anauchezea mpira kama Tonge la ugali ..... hivi haujawahi kuziona skills zakeAmeshindikana na nini mkuu
Daahh tuacheni masihara ..nime watizama kina Michael Jordan ..Rodman. na manguli kibao wa mchezo wa kikapu .
Ila dahh huyo stephen curry ni genius ameshindikana
Daahh tuacheni masihara ..nime watizama kina Michael Jordan ..Rodman. na manguli kibao wa mchezo wa kikapu .
Ila dahh huyo stephen curry ni genius ameshindikana
Hapana nime mtizama curry nime mtizama Jordan nathubutu kusema hivi jordan anajua sana lakini kwa curry hapana aise...jamaa anatisha ni hatari sana kuliko hata VVU ni kama mzimu..jamaa the way anavyopiga chenga na magoli anayoshinda Ooh my gosh ni habari nyingine ileMkuu acha masihara, mimi ni shabiki mkubwa wa GSW team, na mchezaji ninayemkubali NBA nziima kwa sasa ni Curry, ila hauwezi kumfananisha na Jordan hata kidogo, utakuwa umemtukana MJ, usimfananishe na hawa watoto wa siku hizi.
Heshima yake ilindwe.
Nimemuona Mj " curry yuko mbali zaidi kiuwezo kuliko Mj " mara nyingi katika maisha watu wa zamani ndio huwa tulivyo huwaga tunapenda Sana kuamini kwamba " vilivyopo katika wakati wetu ndio vilikuwa bora kuliko wakati uliopo au ujao ...kitu ambacho sio kweli ....Steph is just an expert in 3 pts...
Hakuna kitu kingine anaweza sana kuzidi wengine zaidi ya hiyo...
That being said, huwezi fananisha Steph na MJ, unless you didn't watch MJ playin in his prime time...MJ was just MJ....
Jamaa kaoa sura na sio msambwanda