Hapana mkuu, Sema Curry kama ataendelea kuwa kwenye peak kwa misimu kadhaa ijayo ndio anaweza kuwa na hizo sifa.
Mj amekuwa MVP mara karibu mara 6, Curry ni mara 2 kaa sikosei. Mj anatuzo ya defensive player, Curry hana. Sasa ukiona mtu anayefunga na kudefence maana yake anaibeba timu sana tofauti na Curry yeye si mzuri katika defence japo kwa three points scoring kamzidi MJ.
NBA News, Rumors, Scores, Standings & Stats | FOX Sports
Get NBA news, scores, stats, standings & more for your favorite teams and players! All on FoxSports.com.www.foxsports.com
Utakua haukumuangalia vizuri MJDaahh tuacheni masihara ..nime watizama kina Michael Jordan ..Rodman. na manguli kibao wa mchezo wa kikapu .
Ila dahh huyo stephen curry ni genius ameshindikana
Naulimwengu huu wa technology " unadhani kuwa hilo naweza kulifanya .... jana tu nimetoka kukesha YouTube..macho yangu yaka nidhihirishia Kuwait curry ni shida nyingineUtakua haukumuangalia vizuri MJ
Kumbe anaringia sura tu!!!
Mpe muda " kumbuka hapa tuna m-compare mtu ambaye ndio kwanza anachipukia dhidi ya watu waliocheza mpaka stahafu "Even in the top 25 NBA Players Curry is no where to be found. [emoji41]
Kwenye hii michezo uzuri wake Takwimu ndio zinaongea,Steph hajafika hiyo level hajitahid amfikie Kobe kwanza ndio umpeleke kwa MJ na MagicNaulimwengu huu wa technology " unadhani kuwa hilo naweza kulifanya .... jana tu nimetoka kukesha YouTube..macho yangu yaka nidhihirishia Kuwait curry ni shida nyingine
Curry didn't want KD to win, KD joined Curry to win.. Curry proved on Friday hamuitaji KD kuchukua ring..Great " Analysis ...watu wanaficha kuongea ukweli tu ..curry ni mtu hatari sana " yaani kwanza hata uchezaji wake unavutia machoni ana kasi na skills za hatari sana " kama hajawekwa kwenye list ya manguli wa huo mchezo basi itakuwa anafanyiwa figisu tu ..ni sawa na jinsi tunavyoona hary kane akipewa heshima ndogo epl wakati uwezo alionao kama striker ni mkubwa mno
31 years anachipukia?? Maaaan naona ndo wajifunza about NBAMpe muda " kumbuka hapa tuna m-compare mtu ambaye ndio kwanza anachipukia dhidi ya watu waliocheza mpaka stahafu "
MJ was playing with plumbers man, Lebron is better than him..Again let me repeat one more time Mkuu. Curry is not in the same class as MJ and that’s why even today a huge percentage of Basketball 🏀 players, analysts and fans will pick MJ as the best player ever. Curry is not even among the top ten basketball players in NBA.
Uwe muelewa -- naamanisha kwenye ubora wake " .... basketball sio kama football ni nadra kwa kijana wa miaka 22 kuwa hot anapokuwa kwenye umri huo.... pia mchezaji anaweza kutamba mpaka akiwa na miaka 3531 years anachipukia?? Maaaan naona ndo wajifunza about NBA
Hahahaa ..afadhali " UmekujaMJ was playing with plumbers man, Lebron is better than him..
Na ni matatizo ya akili kusema Curry is not even on top 10. He already locked best PG or tied it with Magic Johnson.
First ever unanimous MVP eti asiwe on top 10? Sasa KD kaumia subiri muone ule moto wa 2014-17 unavyorudi..
Waambie aise " Jamaa ni mchawi wa skills yule " ...Curry didn't want KD to win, KD joined Curry to win.. Curry proved on Friday hamuitaji KD kuchukua ring..
Curry is very debatable among 5 greatest to ever play it sema tu sio selfish kama other basketball players..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama kwenye Uzi huu mjadala umehamia kwa mumewe huyo mdada nyota yake kiza kimetanda
NBA News, Rumors, Scores, Standings & Stats | FOX Sports
Get NBA news, scores, stats, standings & more for your favorite teams and players! All on FoxSports.com.www.foxsports.com
Mkuu acha masihara, mimi ni shabiki mkubwa wa GSW team, na mchezaji ninayemkubali NBA nziima kwa sasa ni Curry, ila hauwezi kumfananisha na Jordan hata kidogo, utakuwa umemtukana MJ, usimfananishe na hawa watoto wa siku hizi.
Heshima yake ilindwe.
Kuna watu hapa kumbe mnaangalia mpira wa mikono! Tuko tofauti sana duniani.
Hivi mwanadamu anatakaje?View attachment 1094423
Ayesha akiwa na mume wake Steph
Mke wa mchezaji mahiri na wa Basketball,; Steph Curry, katika mahojiano na chombo kimoja cha habari amedai kwamba anashangaa na wakati mwingine anasikitika kwanini tangu ameolewa na mumewe hajawahi kutongozwa na mwanaume yoyote mwingine, anasema jambo hilo linamsikitisha na anahisi kuna tatizo.
Nini maoni yenu wadau?
Ndio hapo tunasema subiri acheze seasons za kutosha, mwishoni mwa carrier ndio tufanye comparison, sio saizi.Mpe muda " kumbuka hapa tuna m-compare mtu ambaye ndio kwanza anachipukia dhidi ya watu waliocheza mpaka stahafu "