Ayoub Daudi wa Star TV

Ayoub Daudi wa Star TV

hesalieyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
378
Reaction score
380
Nimekua mfuatiliaji mzuri wa kituo cha television cha star tv.hakika wanawasomaji wazuri wa habari na kimavazi wananivutia haswa kwa jinsi wanavyopendeza. lakini kitu kinachonishangaza na kujiuliza ni kuhusu huyu msoma habari Ayoub Daud.

Tangu nimeanza kumfaham hajawahi kubadilisha suti yake nyeusi ambayo mkoti wake unaishia kifuani.ni kwa nini havai vizuri kama watangazaji wengine wa Star Tv?

Ni kweli unasauti nzuri ya kuvutia lakini ninachokuomba badilika katika uvaaji wako wa suti hususan mikoti inayoishia kifuani, ukizingatia hilo hakika utafika mbali.
 
aisee kumbe hawabadilishagi suti,hiyo kali ya mwaka. ila mi nadhan labda ndo sare zao za utangazaji
 
hapana wengine wanabadilisha il a huyu mtangazaji ndiyo ananiacha hoi habasilishagi.
 
Hata simjui ila utanifanya nianze kuangalia habari ili nimuone
 
Weka picha tuone hiyo suti inayoishia kifuani inafananaje maana wengine hatuna tv.
 
Wananunua wenyewe na mshahara wake ni tsh. 340,000/= je ataweza nunua suti? Star tv ni moja ya vituo vya tv ambavyo vimedhulumu na vinaendelea kudhulumu wafanyakazi wake kila kukicha na hawana mtetezi. Ni vigumu kununua suti kwa vijimshahara wanavyotoa kwani hata shati utanunua kwa shida.
 
kwa hiyo hao wengine wanawezaje kununua, na yeye ashindwe hadi avae suti inayoishia kifuani? I wish nimuone. lakini nilishawahi kusikia watangazaji was star tv huvishwa na kampuni na ndiyo maana wanapendeza.natamani nimuone huyo Ayoub nishuhudie ninayoyasikia.
 
Wananunua wenyewe na mshahara wake ni tsh. 340,000/= je ataweza nunua suti? Star tv ni moja ya vituo vya tv ambavyo vimedhulumu na vinaendelea kudhulumu wafanyakazi wake kila kukicha na hawana mtetezi. Ni vigumu kununua suti kwa vijimshahara wanavyotoa kwani hata shati utanunua kwa shida.

Si akanunue kwenye mitumba.
 
Weka picha tuone hiyo suti inayoishia kifuani inafananaje maana wengine hatuna tv.
La muhimu sana hili!" .............. sijui inafanana na kitop!

Grand PA
 
Weka picha tuone hiyo suti inayoishia kifuani inafananaje maana wengine hatuna tv.

Najaribu kuichora picha ya suti inayoishia kifuani hata haichoreki! ngoja nimwambie Tyta.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom