aisee kumbe hawabadilishagi suti,hiyo kali ya mwaka. ila mi nadhan labda ndo sare zao za utangazaji
hapana wengine wanabadilisha il a huyu mtangazaji ndiyo ananiacha hoi habasilishagi.
hahahaha bado ana ushamba flan
mkuu sitanii hope ulishawahi kumuona
Wananunua wenyewe na mshahara wake ni tsh. 340,000/= je ataweza nunua suti? Star tv ni moja ya vituo vya tv ambavyo vimedhulumu na vinaendelea kudhulumu wafanyakazi wake kila kukicha na hawana mtetezi. Ni vigumu kununua suti kwa vijimshahara wanavyotoa kwani hata shati utanunua kwa shida.

Si akanunue kwenye mitumba.
La muhimu sana hili!" .............. sijui inafanana na kitop!Weka picha tuone hiyo suti inayoishia kifuani inafananaje maana wengine hatuna tv.
Weka picha tuone hiyo suti inayoishia kifuani inafananaje maana wengine hatuna tv.