Tetesi: Ayoub kuikacha Simba mwishoni mwa msimu huu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
TETESI: Nyanda wa Klabu ya Simba, Ayoub Lakred ameamua kuondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja klabuni hapo kufikia ukomo.

Kwa mujibu wa ripoti Ayoub (28) raia wa Morocco amepata ofa kutoka moja ya vilabu Nchini kwao hivyo hayupo tayari kuendelea kusalia Nchini Tanzania.

#KitengeSports

NB: Bakolo batalia
1715416136564.jpg
 
Ayubu ni Mali saafi, imekosa safu mzuri ya ulinzi, mwanzoni tuliamini hii ya Yeriko itakua Bora, kumbe hii ndio hovyo kabisa kulinganisha ya misimu iliopita ya joashi onyango na wawa.
 
Ni chujio[emoji23]
 
Tatizo Ayoub alidanganywa. Aliambiwa anasajiliwa Yanga ile kushtuka yuko Simba.
TETESI: Nyanda wa Klabu ya Simba, Ayoub Lakred ameamua kuondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja klabuni hapo kufikia ukomo.

Kwa mujibu wa ripoti Ayoub (28) raia wa Morocco amepata ofa kutoka moja ya vilabu Nchini kwao hivyo hayupo tayari kuendelea kusalia Nchini Tanzania.

#KitengeSports

NB: Bakolo bataliaView attachment 2987638
 
Kwa wale matapeli wanaojiita "viongozi wa Simba" kama hawataondolewa pale basi tutarajie msimu mbovu zaidi mwakani!
 
Back
Top Bottom