Ayoub Lakred mnamchukulia poa atawashangaza!

Ayoub nampa Salute.
Leo kaibeba Simba. Nafuta kauli za kejeli zote, Mwamba hana Mbambambaaa za kuuza timu.
Manula akauze Bamia soko la Mabibo tu mjinga yule katufungisha 5 kisa Mil 50 za GSM
Kwakua round ya pili dhidi ya Yanga tunategemea atacheza Ayoub, hatutegemei malalamiko kama Aya tena.
 
leo angedaka kipya fulani na fulani wale, mechi ilikua sare ya mbili mbili.
 
The post sent and delivered
Mkuu, waambie mashabiki wenzetu wa SSC tuache kukariri football Ni kumpa mtu muda na nafasi sio kukariri first11......mfano TU Leo tumeshinda hakuna mtu atamuulizia MOSES PHIRI kwanini hakuwa hata benchi????.....ila tungefungwa sasa.....hapa jukwaani kila mtu angehoji kuhusu phiri
 
Nadhani wataenda na beat tuu mdogo mdogo..kwanza unamuonaje kocha? Yupo serious na kazi na hata uwanjani alikua anawafokea wanaoleta uzembe...Kocha tunae mkuu..
 
Nadhani wataenda na beat tuu mdogo mdogo..kwanza unamuonaje kocha? Yupo serious na kazi na hata uwanjani alikua anawafokea wanaoleta uzembe...Kocha tunae mkuu..
Mkuu nikiri Mimi Kama mwana michezo sikuelewa zile subs zake kiukweli kwenye 2nd half....but kadiri mchezo ulivyozidi kuendelea ndio nilielewa kwanini alifanya hizo subs

Ngoja tuendelee kuona but so far nilichojifunza kwa huyu kocha tayari kashajua STRENGTHS/WEAKNESS za wachezaji wake wote
 
Umeongea hapo mwisho umemaliza kila kitu...He knows na amezitumia kwa faida...
Tujipongeze mwana Lunyasi mwenzangu
 
Van gal aliwah sema ukiona timu pinzani inakushambulia sana kutoka pembeni na wew tengeneza Namna uweze kuwazuia kutoka huko huko pembeni Ndio Maana ya Sabu ya Duchu na Mwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…