Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
- Thread starter
-
- #81
Hahahahaa....mkuu naomba maoni YAKo dirisha hili dogo aondoke au abaki???Onana akiacha ubishoo tu ni mchezaji
Itabidi abaki tu ila awe chini ya uangalizi maalumuHahahahaa....mkuu naomba maoni YAKo dirisha hili dogo aondoke au abaki???
Ooooh ok mkuu nashukuru Sana kwa kunijulisha hili.....shukrani sanaaVan gal aliwah sema ukiona timu pinzani inakushambulia sana kutoka pembeni na wew tengeneza Namna uweze kuwazuia kutoka huko huko pembeni Ndio Maana ya Sabu ya Duchu na Mwenda
SawaItabidi abaki tu ila awe chini ya uangalizi maalumu
Mechi ya Al Ahly na Cr Belarouzidad imesogezwa mbele kutokana na Al Ahly alikuwa kwenye mashindano ya Club Word CupIla Onana hapana hata msemaje
SawaMechi ya Al Ahly na Cr Belarouzidad imesogezwa mbele kutokana na Al Ahly alikuwa kwenye mashindano ya Club Word Cup
Group la Yanga yeyote atayeshinda anaongoza ligi.
Sio sawaSawa
Angefungwa ungekuja kupondaKama uliangalia ile game Vs Asec save aliyofanya aisee Ni bonge la kipaa, binafsi sielewagi kwanini huyu mwamba anapondwa, makosa yapogo tuu kwenye mpira Ni kipa gani duniani mzuri hajawahi kufanya makosa ya kiboya?
Ana footwork nzuri Sanaa na Ni kiongozi kwa mabeki kumshinda MANULA, huyu atatusaidia Sana akiendelea kuaminiwa mwisho wa siku mashibiki mdomo kimyaaaaa!!!...Kama ilivyo kwa kibu tu.
Kama unahisi hajui kadake ww...mtu anacheza goalkeeping kakosea kidogo HAJUI. Yanga wanatuchora tuuu!!!, Sisi tunaendelea kuingiaa Cha kike kila siku kumkataa kipa mzuri.
Manula mda wake unaisha, kuumia sio kwa Bahati mbaya ila ndio ivyo hawezi kurudi kuwa Bora Tena ( hata akirejea atawadakia mpaka lini?? ). Huu ndio ukweli ambao mashabiki wenzangu wa Simba hawataki kuusikia!!
Mpira una mwisho (Ni career fupi) mda ukifika inabidi na wengine wapate nafasi, kwanini hatuigi kwa wenye mpira wao (Europe nk).
Kila siku maswali Ni Yale Yale kwanini CHAMA ajaanza, kwanini phiri achezi, kwanini Manula hakucheza na yupo fiti (alipocheza Vs mtani kwanini amecheza hayupo na hayupo fit...stupid).
Ifike mda tuache Mambo yaendee....tuwaachie wenye profession zao wafanye kazi, sometimes tunajiuliza Nani MCHAWI kumbe mchawi Ni sisi wenyewe mashabiki.
Nawasilisha
But tuupe mpira heshima ( tukiacha ushabiki )....kwenye mpira anything can happen nafikiri na WW unalijua Hilo mkuu Kama mdau Ni sawa??Sio sawa
Kwasababu Yanga amefungwa magoli matano hivyo hata akishinda hawezi ongoza kundi
Hapana ninge sahihisha makosa yake as mtazamaji ( shabiki TU )....hakuna binadamu hakosei mkuuAngefungwa ungekuja kuponda
Gademu
Nani huwafokea??Na hawafokei mabeki, anawaelekeza vizuri.
Hii form muda wote itakuwa inatolewa photocopy maana wako wengi 🤣🤣
Uliona mbali mkuuKama uliangalia ile game Vs Asec save aliyofanya aisee Ni bonge la kipaa, binafsi sielewagi kwanini huyu mwamba anapondwa, makosa yapogo tuu kwenye mpira Ni kipa gani duniani mzuri hajawahi kufanya makosa ya kiboya?
Ana footwork nzuri Sanaa na Ni kiongozi kwa mabeki kumshinda MANULA, huyu atatusaidia Sana akiendelea kuaminiwa mwisho wa siku mashibiki mdomo kimyaaaaa!!!...Kama ilivyo kwa kibu tu.
Kama unahisi hajui kadake ww...mtu anacheza goalkeeping kakosea kidogo HAJUI. Yanga wanatuchora tuuu!!!, Sisi tunaendelea kuingiaa Cha kike kila siku kumkataa kipa mzuri.
Manula mda wake unaisha, kuumia sio kwa Bahati mbaya ila ndio ivyo hawezi kurudi kuwa Bora Tena ( hata akirejea atawadakia mpaka lini?? ). Huu ndio ukweli ambao mashabiki wenzangu wa Simba hawataki kuusikia!!
Mpira una mwisho (Ni career fupi) mda ukifika inabidi na wengine wapate nafasi, kwanini hatuigi kwa wenye mpira wao (Europe nk).
Kila siku maswali Ni Yale Yale kwanini CHAMA ajaanza, kwanini phiri achezi, kwanini Manula hakucheza na yupo fiti (alipocheza Vs mtani kwanini amecheza hayupo na hayupo fit...stupid).
Ifike mda tuache Mambo yaendee....tuwaachie wenye profession zao wafanye kazi, sometimes tunajiuliza Nani MCHAWI kumbe mchawi Ni sisi wenyewe mashabiki.
Nawasilisha
Wengi watakibia kujaza fomu mkuu
Shukrani