Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo ataanza kuitwa "Yoab the Pembes"?Mchoraji kasahau kuchora yale mapembe yake yanayochipua
Wewe Sky Eclat wewe, hakika Mungu anakuona 😂 😂View attachment 1774343
Mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi.
Kumbe hata huku huongeagi? Nilidhani kule tu kwenye jukwaa letu la picha za malovee[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🔇 mbovuView attachment 1774343
Mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee bhana, nimecheka sana hadi mbavu zinauma, mbona mie kuna mada huwa natoa hoja hadi natamani nipasue cm niingie ndani niongee kwa mdomo nisikilizwe,Kumbe hata huku huongeagi? Nilidhani kule tu kwenye jukwaa letu la picha za malovee[emoji38][emoji38]
Dah! Sijui kwa group discussion ulikua wachangia hoja kweli au kwa adamu wako wazungumza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120]
mboni nikiandika ****** inagoma? hapo kwenye ****** nimeandika ..nnduGAY.. bila dot inagoma 😂 😂 😂 😂 huyu anaefuta nawasi atakuwa nidem wakeHuyu mtetezi wa wanawake wasio na vyama bungeni.
Ayubu ni kiswahili ni Job.Ayubu huyu huyu jobo?