Duh Mtambani ndio wapi huko? dah na jamaa walikuwa watatu tu?Kuna kisa kimoja, huyu jamaa aliiba msikitini pale Sinza, akawa anatafutwa, sasa kwa kutegemea zile nguvu zake, wakawa wanashindwa kumkamata... Ikashuriwa waitwe vijana kutoka Mtambani, wakaja vijana kama watatu hivi...! Baada ya masaa kadhaa, wakamleta akiwa nyang'anyang'a, uku kabebwa.
Sasa uko Kinondoni alipo hamia, afanye afanyayo, akiingia tu anga za hawa jamaa, hajue amekwisha.
Double diff alishafiriki kama miaka miwili ilyopita...alipigwa na wananchi maeneo ya tegeta...alikodiwa na jamaa kulinda kiwanja kilichokuwa na matatizo na wananchi wa eneo hilo
Huko nako litawaibia tu na kuishia kumtenga... Huwa likichacha Sana linaenda kwa Ruge kuomba Pesa na Ruge akishaliona tu hulipa pesa haraka liondoke manake hataki kabisa limtembelee sababu ya Tabia yakehili lijamaa lingeingia bongo muviz walau.................................
Jamaa anaitwa Ayubu Mkobo. Mi nakumbuka alimpa kibano cha ukweli Lintu.
Hahaha kweli sikuhizi mwendo ni silaha tu si unaona hata malawi kanchi kadogo lakini kanaleta ubabe sababu wanazo Silaha.... ila Mkuu wewe tu wengine hawana Silaha....He is very stupid,kwa nguvu kama hizo alishindwa nini kuwa mwanamasumbwi akawachape kina Mike Tyson na Evander Hollyfield,jamaa namjua vizuri sana kwani nami nimeishi Sinza kwa zaidi ya miaka 20 na nilikuwa nikimuogopa kweli.Lakini tukikutana leo namuwasha Shaba tu ..
so hii ni true story ?
Bado yapo sana mbona unaishi masaki nini wewe au Upanga? visa vya kaba kaba hujawahi sikia? maeneo mbali mbali? hawa ndio Majambazi na wezi kama hujui nenda na upite ukuta ule wa Posta Sinza... na Hata Ulimboka kwani kachukuliwaje? Pochi na Simu hawakumbakishia... Mambo haya hayatoisha Katika Maisha yetu hata uchumi ukue vipi hawa jamaa ni wavivu na hawawezi fanya kazi kwa Mtu.... wao ni kukaba tuMmmhhh mambo ya kizaman
Kuna mtu anaitwa Nyakash yupo Tangi Bovu Mbezi Beach,huyo Ayubu anamuogopa kufa,na jamaa mwenyewe ana heshima ajabu sababu anajua akileta zake tu tushamwambia.Na subiri winta hii narudi na niko tayari kununua kesi....
Dah so unamshauri nini The Boss... akikutana nae amvimbie tu si ndio!!!ni kweli jamaa yupo ila hana nguvu nyingi wala nini
Double diff alishafiriki kama miaka miwili ilyopita...alipigwa na wananchi maeneo ya tegeta...alikodiwa na jamaa kulinda kiwanja kilichokuwa na matatizo na wananchi wa eneo hilo
Kuna mtu anaitwa Nyakash yupo Tangi Bovu Mbezi Beach,huyo Ayubu anamuogopa kufa,na jamaa mwenyewe ana heshima ajabu sababu anajua akileta zake tu tushamwambia.Na subiri winta hii narudi na niko tayari kununua kesi....
Jamaa yupo jela tena na nadhani hawezi toka tena kwa kesi iliyomfunga na akiwa jela kapata kesi nyingine ya kumla kiboga mwanaume mwenzie... majitu kama hii haitakiwi kuishi uraian...
Jamaa yupo jela tena na nadhani hawezi toka tena kwa kesi iliyomfunga na akiwa jela kapata kesi nyingine ya kumla kiboga mwanaume mwenzie... majitu kama hii haitakiwi kuishi uraian...