Azalaki awa ya ghato beevans tujikumbushe

Azalaki awa ya ghato beevans tujikumbushe

Sikumbuki sijui nilikua nishazaliwa nanyonyaa
 
Hhhhaaaa ulinibeba aiseer watu humu maneno yetu makubwa kama wabibi lakini ukituona bado wabichii u know
Uliona lakini BIRTHDAY YA king of Bongo fleva,hakuna kama Diamond mtoto wa Bi Sandra,hata Loketo cha mtoto
 
Uliona lakini BIRTHDAY YA king of Bongo fleva,hakuna kama Diamond mtoto wa Bi Sandra,hata Loketo cha mtoto

Hata picha hamjaturushiaaa aiseeee fanya makekee basii halaf uniitee
 
Nimekupata Vyema mkuu kibaa

we acha tu mkuu enzi hizo ilikuwa poa sana nakumbuka wanaume tuliandaa party kuagana form 4 tukakaribisha madem tukanunua soda na sambusa kwa ajili ya madem sisi wanaume tukakusanya chupa tupu za Konyagi tukajaza kitu cha Gongo kila mtu na chupa yake dem mmoja si akaomba achanganyiwe kwenye Coca akidhani ni Konyagi
 
Last edited by a moderator:
Huo wimbo kama sijakosea ulitoka 1995 hivi kila nikiusikia nakumbuka nilikuwa kwenye dala dala chai maharage natoka shule primary school naenda kitaa.
 
NILIKUA darasa la kwanza kijijini Chiungutwa, Masasi Mtwara. wakati huo mzee amenunua PANASONIC MPYAA. enzi hizo baiskeli zinaandikwa majina ya mmiliki kwenye chain box
 
NILIKUA darasa la kwanza kijijini Chiungutwa, Masasi Mtwara. wakati huo mzee amenunua PANASONIC MPYAA. enzi hizo baiskeli zinaandikwa majina ya mmiliki kwenye chain box

Hahahaaaaa enzi hizo baskeli ilikuwa inauzwa 13,000/=
 
Nilikuwa Form 4 pale Kilosa Agricultural Secondary School ( Kizunguzi)
 
dah.!! Umenikumbusha zaman enz za marehem babu alikuwa na radio yake kubwa ya sony kijiji kizima walikuwa wanakuja kuazima ile radio afu ndo ilikuwa radio za mwanzo kuwa na cd player....mzee alikuwa na cassete kabati zima
 
Back
Top Bottom