MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 560
kumbe nilikubeba wa ng'wise.Sikumbuki sijui nilikua nishazaliwa nanyonyaa
kumbe nilikubeba wa ng'wise.
Uliona lakini BIRTHDAY YA king of Bongo fleva,hakuna kama Diamond mtoto wa Bi Sandra,hata Loketo cha mtotoHhhhaaaa ulinibeba aiseer watu humu maneno yetu makubwa kama wabibi lakini ukituona bado wabichii u know
Uliona lakini BIRTHDAY YA king of Bongo fleva,hakuna kama Diamond mtoto wa Bi Sandra,hata Loketo cha mtoto
Nimekupata Vyema mkuu kibaa
NILIKUA darasa la kwanza kijijini Chiungutwa, Masasi Mtwara. wakati huo mzee amenunua PANASONIC MPYAA. enzi hizo baiskeli zinaandikwa majina ya mmiliki kwenye chain box
Huo wimbo kama sijakosea ulitoka 1995 hivi kila nikiusikia nakumbuka nilikuwa kwenye dala dala chai maharage natoka shule primary school naenda kitaa.