We umef*rw mara ngap?katengenezi chapati na mandazi mpira sio hamira.Alafu hao wanaume wakija kwetu tunawaf*ra
We naye kumbe ni mtu wa hovyo kiasi hiki?Alafu hao wanaume wakija kwetu tunawaf*ra
Matusi ya nini sasa??Alafu hao wanaume wakija kwetu tunawaf*ra
Yeye kakuanza Kwa utani wa kawaida kwenye mpira, kwani we hujui kama Azam wanaitwa wakanda chapati???Kwani nani nmetuana mwingine
Ili Unizulumu kama ulivyomzulumu yule jamaa etiSawa weka pesa
KMC timu.Nani uyo
[emoji23][emoji23][emoji23] mi ni thimbaaa damu na tuna striker letu kibu d, striker la nchi.Wewe ni Team gani kwanza kama ni Simba nyamaza
Maaana huna kikosi
Ziko wapi updates maana sasa ni saa moja na dakika tisa na hamna kituWapenzi wa mpira kalibuni kupata update ya mchezo wa NBC premier league
Kati ya AZAM FC team bora bidhaa bora dhidi ya Ruvu shooting
Mchezo utachezwa saa 1. Kamili usiku katika UWANJA wetu wa CHAMANZI COMPLEX
Njoo upate radhi ya na soka la kiufundi kutoka AZAM FC
NOTE:TUACHANE NA MAPACHA MMOJA ALIKUWA NA GOAL KEEPER SHOGA MWINGI KOCHA WA MA GOAL KEEPER PUNDA
[emoji16]
View attachment 2417704
Mleta apdates yupo chimbo anakula ngada kwanza.Ziko wapi updates maana sasa ni saa moja na dakika tisa na hamna kitu