mkuu mimi ninacho cha dish nipe maujuzi niweze faudu hizo channels kibao!Aiseeee! Startimes kwa wenye dish wana channels nyingi kuliko kisimbusi chochote zinafika hadi 1000 hadi brazzers tv ya porno ipo ila ni ujuzi wako tu ili upate acces yake ionyeshe!
AFCON inaonekana startimes kwenye machanel ya nchi kibao ila kama una cha antena unaweza kukichoma moto ni mara elfu 50 Azam
Kbc hata dstv ukianza mpira wa afcon inapotea ,ilinitokea pale supersport 7 ilikuwa ina scratch kwenda kbc holaHawa jamaa wana roho mbaya sana. Hivi chanel ya kbc ambayo nimeilipia inawahusu nini?
Kwa nini kila mpira ukitaka kuanza mnazifunga chanel zao kwenye li mbuzi lenu?
Aisee natamani mnirudishie hela yangu nilipie startimes.
niliyonayo inaitwa STRONG 4922 nlinunua laki mbili, napata local channels karibia zote free silipii daima, pia napata channels za movies kali na mpya kila siku, wanyama, mpira ligi kama zote bure silipii na sitakuja kulipia daima. channels kama 1000+ satellite tofauti bureeeeee! nlichofanya nimetega dish kwenye satellite tofauti zinazorusha channels bure bila malipo. wanachokifanya azam na maboya wengine kama zuku wanazitafuta channels nyingi kwenye satellite tofauti kisha wanazikusanya kwenye kingámuzi kimoja ndo wanawalipisha, ila kama unadishi lako unatega tu mwenyewe unajitafutia channels unazopenda, tena ziko nyingi hadi utachoka kutazama.Dekoda gani ya FTA unapata local zote za bongo? Tsh ngapi inauzwa?
Erase kila kitu alafu search channels upya, utaipata kisha utaifuta yenyewe tu na utaitafuta kwenye satellite yake kivyakemkuu mimi ninacho cha dish nipe maujuzi niweze faudu hizo channels kibao!
| Satellite | Transponder | Polarisation | Beam |
| Astra 4A (4.8°E) | B1 | Horizontal | BSS Nordic |
| Frequency | Standard | Modulation | SR | FEC | NID | TID |
| 11727.48 MHz | DVB-S2 | 8PSK | 27500 | 5/6 | 85 | 202 |
King'amuzi cha Azam kimeletwa maalumu kwa ajili ya wazanzibari na waislam ukiangalia azam maudhui ya burudani ni michezo na sinema peke yake na hata sinema zingine zina mambo ya oman kama ya sultani kwa hivyo siyo rafiki sana kwa wapenda burudani bhasi kila ukifungua channeli unaskia Allahhhh....siyo kudhihaki lakini hawa jamaa strategy yao ya haijakaa kibishiara ila ki ajenda zaidi..
Chaneli zenye mafundisho pia ni haba kwa azam nikaamanisha chaneli za science,makala mbali mbali za kijografia na historia kwa mimi nimeona hakuna au zipo zinazobabaisha ... ila ukisogeza tuu qaswida..Tena ndo iwe ijuumaa sasa ...Aaaaah ah hh...
Masafa yalibadirika inakuaje mpaka umtafute fundi? Unatumia kuband au cband?niliyonayo inaitwa STRONG 4922 nlinunua laki mbili, napata local channels karibia zote free silipii daima, pia napata channels za movies kali na mpya kila siku, wanyama, mpira ligi kama zote bure silipii na sitakuja kulipia daima. channels kama 1000+ satellite tofauti bureeeeee! nlichofanya nimetega dish kwenye satellite tofauti zinazorusha channels bure bila malipo. wanachokifanya azam na maboya wengine kama zuku wanazitafuta channels nyingi kwenye satellite tofauti kisha wanazikusanya kwenye kingámuzi kimoja ndo wanawalipisha, ila kama unadishi lako unatega tu mwenyewe unajitafutia channels unazopenda, tena ziko nyingi hadi utachoka kutazama.
Acha uongo bwana! Unasimulia kitu utadhani unatumia peke ako!King'amuzi cha Azam kimeletwa maalumu kwa ajili ya wazanzibari na waislam ukiangalia azam maudhui ya burudani ni michezo na sinema peke yake na hata sinema zingine zina mambo ya oman kama ya sultani kwa hivyo siyo rafiki sana kwa wapenda burudani bhasi kila ukifungua channeli unaskia Allahhhh....siyo kudhihaki lakini hawa jamaa strategy yao ya haijakaa kibishiara ila ki ajenda zaidi..
Chaneli zenye mafundisho pia ni haba kwa azam nikaamanisha chaneli za science,makala mbali mbali za kijografia na historia kwa mimi nimeona hakuna au zipo zinazobabaisha ... ila ukisogeza tuu qaswida..Tena ndo iwe ijuumaa sasa ...Aaaaah ah hh...
Hayo ni mambo ya leseni. Kbc wana leseni ya kuonesha Afcon ndani ya Kenya hivyo kama kuna watu wamewauzia matangazo nje ya Kenya mpira ukianza lazima wazime vinginevyo watashtakiwa kwenda kinyume. Kuna wakati channel ya Uganda ilikuwa hivyo hivyo ikifika muda wa ucl inazimwa.Hawa jamaa wana roho mbaya sana. Hivi chanel ya kbc ambayo nimeilipia inawahusu nini?
Kwa nini kila mpira ukitaka kuanza mnazifunga chanel zao kwenye li mbuzi lenu?
Aisee natamani mnirudishie hela yangu nilipie startimes.
Nimekiuza juzi tu kwa bei ya hasara azam wajinga sanaVing'amuzi vya kiswahili hua hata bure sivihitaji.
Msemo wa kimombo kua cheap is always expensive. Ving'amuzi vya kiswahili vina bei mdogo ila huduma mbovu na uswahili mwingi.
Dstv endelea kuwafundisha waswahili namna ya kutoa huduma bora.
Watangazaji pia waislamu.King'amuzi cha Azam kimeletwa maalumu kwa ajili ya wazanzibari na waislam ukiangalia azam maudhui ya burudani ni michezo na sinema peke yake na hata sinema zingine zina mambo ya oman kama ya sultani kwa hivyo siyo rafiki sana kwa wapenda burudani bhasi kila ukifungua channeli unaskia Allahhhh....siyo kudhihaki lakini hawa jamaa strategy yao ya haijakaa kibishiara ila ki ajenda zaidi..
Chaneli zenye mafundisho pia ni haba kwa azam nikaamanisha chaneli za science,makala mbali mbali za kijografia na historia kwa mimi nimeona hakuna au zipo zinazobabaisha ... ila ukisogeza tuu qaswida..Tena ndo iwe ijuumaa sasa ...Aaaaah ah hh...
Mzee ving'amuzi si vipo Vingi; mwanaume acha kulia kulia toa pesa mfukuni kanunue zuku, dstv, star times, nk.azam ni janga yaaani ikitokea tu tpl imepata channel nyingine hawa waarabu itakula kwao...wanauza dish zao nchi tofauti lakini cha ajabu baadhi ya channel wanazikata mfano mtu anaeishi malawi au uganda anakinunua ki dish chao ili mambo ya tz yasimpite cha ajabu wao wanakata baadhi channel mfano sa iv utv haioneshi kwa dish za malawi kitu ambacho walonunua wanakosa habari za utv
AZAM TV ACHENI UKENGE
Sasa mbona bado wateseka mkuuNimekiuza juzi tu kwa bei ya hasara azam wajinga sana
Umekatazwa kununua king'amuzi cha star times?Watangazaji pia waislamu.
Nimelalamika wapi....Sasa mbona bado wateseka mkuu
Yani umekiuza na bado waendelea kukilalamikia; kirudie tu huna jinsi otherwise TPL utaingalia kwa jirani
mkuu; unajikataa tena kwamba hujalalama;Nimelalamika wapi....
Masafa yalibadirika inakuaje mpaka umtafute fundi? Unatumia kuband au cband?
Gharama jumla tsh ngapi dekoda ufundi masafa yakibadirika nitafanyaje?Nitafute nikufungie local channels