Azam acheni roho mbaya za Kikaburu

startimes mkuu hawaoneshi africon. but wanaonesha bundasliga, serie A, mls, jupler league, ligi kuu scotland, ligi kuu uturuki, na ligi kuu sweden (kwa baadhi ya matches)
Na Copa America!
 
Baada ya kujua safu ya uongozi wa Azam media... Twende na media zingine... ITV, TBC etc?
 
Umeelezea vizuri! Wasioelewa basi
 
 
Wabongo bana shikamoo
 
Hata mavazi na ajira pale idadi kubwa ni Islamic.
 
Acha ufisadi wewe, azam ina channels ya bongo movie kutwa nzima, ina channels za mipira ya ligi kuu ina channels za mziki kutwa nzima, yte huyaoni haya unapandikiza chuki tu, et omani mara unaskia allah mara kaswida
Acha kutetea upuuzi. Azam ni tatizo, hakuna burudani yoyote ya maana.
 
Hawa jamaa wana roho mbaya sana. Hivi chanel ya kbc ambayo nimeilipia inawahusu nini?

Kwa nini kila mpira ukitaka kuanza mnazifunga chanel zao kwenye li mbuzi lenu?

Aisee natamani mnirudishie hela yangu nilipie startimes.
Azam wanazidi kujichimbia kaburi,yaani kila kona Tz watu wamelalamika sana hiki kitendo chao cha unyama mkubwa,AFCON tunaishia kusimuliwa tu ,hovyo kabisa
 
Ving'amuzi vya azam ni vya kwenda kuvitupa nje ya ofisi yao ili wapate ujumbe fulani hivi matata.....kazi kafala tu, nyambafu kabisa...
Hawajatoa stament yoyote ile kuhusu kusitisha kuonesha mashindano ya Afcon since last week
 
Ila utakuja ukipate kwa gharama kubwa maana dikoda tu bila card ni 80000, dikoda na kadi 120000 bila dishi.
Ni lazima kukitumia... Nimeshatumia miaka3 ..... Kikubwa ni ligi tu ya Tanzania tofauti na hilo sioni utofauti...
 
Acha kutetea upuuzi. Azam ni tatizo, hakuna burudani yoyote ya maana.
Burudani gani waitaka wewe ikutosheleze mpka ujisikie.!!!!
Azam inawaeka watu wa rika zote mpka sita usiku kwa kufuatilia vipindi vyao..[emoji848]
 
Oya wee haya ya kweli au?
Nimeanza kufatilia io strong 4922
 
Acha ufisadi wewe, azam ina channels ya bongo movie kutwa nzima, ina channels za mipira ya ligi kuu ina channels za mziki kutwa nzima, yte huyaoni haya unapandikiza chuki tu, et omani mara unaskia allah mara kaswida
Kwanin hawaoneshi AFCON?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…