Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,869
- 11,651
Delete zilizopo zote kiongozi kisha search upya kwa kutumia satellite zote@Dripboy. Nisaidie ujanja kuzipata hizo chanel 1000 mkuu
Nimetaja dini hapo kwenye andiko langu?.Akili maji kabisa,wewe unayetaja dini pasipo stahili ndio mbaguzi No moja..Kwa taarifa yako mimi 60% yamarafiki zangu ni waislam,sina tatizo na dini hii kabisa.Na wala marafiki zangu hao hawana akili maji kama zako.Kisa Muislamu/Mwarabu sio! Chuki haijengi bali inabomoa,,,
Delete zilizopo zote kiongozi kisha search upya kwa kutumia satellite zote
Nimetaja dini hapo kwenye andiko langu?.Akili maji kabisa,wewe unayetaja dini pasipo stahili ndio mbaguzi No moja..Kwa taarifa yako mimi 60% yamarafiki zangu ni waislam,sina tatizo na dini hii kabisa.Na wala marafiki zangu hao hawana akili maji kama zako.
Mimi kwa sasa situmii Azam, Hadi lingi ya Tanzania itakapoanza. Washenzi Sana hawa jamma. Juzi nilinunua Ting nikidhani ni ya Dini. Kumbe NI nzuri Sana. Tunaangalia AFCON Safi kabisa. Na baadha ya michezo
Akili maji tena,Soma andiko langu la kwanza.Nionyeshe nilipotaja neno"waarabu".Mimi nimechukizwa na services za Azam Tv,Hayo mawazo ya kidini na asili ya watu ni wewe umeleta..Hebu kuwa na akili kidogo,acha mihemko ya kijinga.Ahaa so una chuki na waarabu sio?
Umejishtukia ulivyo poyoyo au sio 😀🤣🤣🤣🤣🤣
12073 V 27500 (Ku Band) kuipata brazzers tvHebu ongeza nondo sie wa startimes tupate utamu bro
Ila hata ukitumia Anteanna si inakubali au dish tu?niliyonayo inaitwa STRONG 4922 nlinunua laki mbili, napata local channels karibia zote free silipii daima, pia napata channels za movies kali na mpya kila siku, wanyama, mpira ligi kama zote bure silipii na sitakuja kulipia daima. channels kama 1000+ satellite tofauti bureeeeee! nlichofanya nimetega dish kwenye satellite tofauti zinazorusha channels bure bila malipo. wanachokifanya azam na maboya wengine kama zuku wanazitafuta channels nyingi kwenye satellite tofauti kisha wanazikusanya kwenye kingámuzi kimoja ndo wanawalipisha, ila kama unadishi lako unatega tu mwenyewe unajitafutia channels unazopenda, tena ziko nyingi hadi utachoka kutazama.
Kwa sasa king'amuzi cha Azam kinafaa kwa mabeki tatu tu.Kama hiyo “roho za kikaburu” umemaanisha DsTV, uache kufananisha “makaburu” na vitu vya kijinga.... Azam TV ni kwajili ya mabeki tatu.
Unatetea upuuzi kwani wewe ndiyo demu wake wajukuu wa Bakhressa ?Acha ufisadi wewe, azam ina channels ya bongo movie kutwa nzima, ina channels za mipira ya ligi kuu ina channels za mziki kutwa nzima, yte huyaoni haya unapandikiza chuki tu, et omani mara unaskia allah mara kaswida
Tiba nikununua Dstv kwa wapenda michezoKama unapanga kutoka huko Kwenu Azam na kuja huku Kwetu StarTimes nakushauri lifikirie mara mbili mbili kwani unaweza ukawa unatoka katika afadhali na kwenda potelea mbali. Unatakiwa uwe na Uvumilivu mkubwa sana na Moyo wa kama wa Mwendawazimu vile kuwa Mteja wa StarTimes.
Niko startimes toka kombe la dunia siwezi kununua hicho king'amuzi cha AzamHawa jamaa wana roho mbaya sana. Hivi chanel ya kbc ambayo nimeilipia inawahusu nini?
Kwa nini kila mpira ukitaka kuanza mnazifunga chanel zao kwenye li mbuzi lenu?
Aisee natamani mnirudishie hela yangu nilipie startimes.
Ila hata ukitumia Anteanna si inakubali au dish tu?
Channel gani hiyo kwenye Azamtv wanaonesha movie za wakorea?Kwa sasa king'amuzi cha Azam kinafaa kwa mabeki tatu tu.
Kila channel inaonyesha movie za kihindi na Korea 24/7 huu si upuuzi ?
Hivi wanatuona sisi ni wajinga sana tunapaswa kuangalia movie tu ? Halafu channel tulizozilipia wanaziondoa kwa makusudi yao hii siyo sawa.
Acha ujinga azam kafeliAcha ufisadi wewe, azam ina channels ya bongo movie kutwa nzima, ina channels za mipira ya ligi kuu ina channels za mziki kutwa nzima, yte huyaoni haya unapandikiza chuki tu, et omani mara unaskia allah mara kaswida
Imefikaje uko kunambie m demu wa bakhreesa, tunakua wote sio.[emoji55]Unatetea upuuzi kwani wewe ndiyo demu wake wajukuu wa Bakhressa ?
Hao jamaa king'amuzi chao sasa hivi hovyo sana zamani walikuwa wanabebwa na FTAs baada ya kuondolewa wamebaki na mamovie yao ya kiarabu na korea .
Hawa jamaa hovyo sana