Azam acheni ubahili, ajirini watangazaji wanaojua Kiswahili na Kifaransa. Mechi ya Tanzania na Congo leo ni Kifaransa tu hamna mkalimani

Azam acheni ubahili, ajirini watangazaji wanaojua Kiswahili na Kifaransa. Mechi ya Tanzania na Congo leo ni Kifaransa tu hamna mkalimani

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
Azam acheni ubahili ajirini watangazaji wanaojua Kiswahili na Kifaransa mechi ya Tanzania na Congo ni kifaransa tu hamna mkalimani mnatia aibu

Media zingine pia achaneni na watangazaji wajua tu kiswahili na kingereza ajilini wanaojua mbali na kiswahili na kingereza wanajua kifaransa nk

Hao wengine akina Kitenge nk wawe tu wabwabwaja domo mechi za ndondo cup za mchangani

Ajirini watangazaji wanaojua lugha za kimataifa kwenye TV zenu

Azam leo mumetuaangusha watanzania ni aibu
 
Azam acheni ubahili ajirini watangazaji wanaojua kiswahili na kifaransa mechi ya Tanzania na Congo ni kifaransa tu hamna mkalimani mnatia aib....
Ndugu hizo ni mambo...za haki za matangazo
 
Hiyo ni channel ya Congo hao ni wakongo Azam wameunga tu ,uwe unajiongeza

USSR
na katika masharti ya kuunga, kigezo nikurusha matangazo kama yalivo hakuna kutafsiri
 
Azam acheni ubahili ajirini watangazaji wanaojua kiswahili na kifaransa mechi ya Tanzania na Congo ni kifaransa tu hamna mkalimani mnatia aib...
Tanzania kiingereza ni shida wewe unasema kifaransa..........the the the nyingi TU! Ndio useme Bonjour!!!
 
Mbona mechi zingine za kimataifa huwa wanakalimani
Mkuu ushasema mechi zingine
kila mtu anatoa masharti yake

kama hao warwanda wametumia nafasi hiyo kujitangaza ndo maan hata logo ya azamsport1 pale haipo inaonekana ya iyo channel ya uko rwanda
 
na katika masharti ya kuunga, kigezo nikurusha matangazo kama yalivo hakuna kutafsiri
Hakuna kutafsiri nn?
Azam anapewa video ikiwa na sauti ya uwanjani tuu Then yeye mwnyw anaamua arushe kwa lugha ipi.
 
Mkuu ushasema mechi zingine
kila mtu anatoa masharti yake

kama hao warwanda wametumia nafasi hiyo kujitangaza ndo maan hata logo ya azamsport1 pale haipo inaonekana ya iyo channel ya uko rwanda
Una uhakika hapakuwa na logo ya azam?
 
Azam acheni ubahili ajirini watangazaji wanaojua kiswahili na kifaransa mechi ya Tanzania na Congo ni kifaransa tu hamna mkalimani mnatia aibu

Media zingine pia achaneni na watangazaji wajua tu kiswahili na kingereza ajilini wanaojua mbali na kiswahili na kingereza wanajua kifaransa nk

Hao wengine akina Kitenge nk wawe tu wabwabwaja domo mechi za ndondo cup za mchangani

Ajirini watangazaji wanaojua lugha za kimataifa kwenye TV zenu

Azam leo mumetuaangusha watanzania ni aibu
Hadi aibu naona mimi duh. Ungeuliza kwanza aisee kwenye matangazo ya live hasa mpira hatuweki mkalimani bali tunatoa sauti ya lugha tusiyoitaka na kuingiza sauti nyingine. Sasa inawezekana kulikua na changamoto ya kiufundi. Wengine wanasema haki za matangazo pia nayo inaweza kuwa sababu ya Azam kushindwa kutangaza kwa lugha nyingine. Ila hilo la mkalimani umechemkaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom