Ndugu hizo ni mambo...za haki za matangazoAzam acheni ubahili ajirini watangazaji wanaojua kiswahili na kifaransa mechi ya Tanzania na Congo ni kifaransa tu hamna mkalimani mnatia aib....
Hiyo ni channel ya Congo hao ni wakongo Azam wameunga tu ,uwe unajiongezaAzam acheni ubahili ajirini watangazaji wanaojua kiswahili na kifaransa mechi ya Tanzania na Congo ni kifaransa tu hamna mkalimani mnatia aib...
Hawana wakalimani ndio hoja yangu mbona mechi zingine za kimataifa huwa wanakalimaniHiyo ni channel ya Congo hao ni wakongo Azam wameunga tu ,uwe unajiongeza
USSR
na katika masharti ya kuunga, kigezo nikurusha matangazo kama yalivo hakuna kutafsiriHiyo ni channel ya Congo hao ni wakongo Azam wameunga tu ,uwe unajiongeza
USSR
Mashart na vigezo mzeeeHawana wakalimani ndio hoja yangu mbona mechi zingine za kimataifa huwa wanakalimani
Tanzania kiingereza ni shida wewe unasema kifaransa..........the the the nyingi TU! Ndio useme Bonjour!!!Azam acheni ubahili ajirini watangazaji wanaojua kiswahili na kifaransa mechi ya Tanzania na Congo ni kifaransa tu hamna mkalimani mnatia aib...
Mbona mechi zingine za kimataifa huwa wanakalimanina katika masharti ya kuunga, kigezo nikurusha matangazo kama yalivo hakuna kutafsiri
Mkuu ushasema mechi zingineMbona mechi zingine za kimataifa huwa wanakalimani
Hakuna kutafsiri nn?na katika masharti ya kuunga, kigezo nikurusha matangazo kama yalivo hakuna kutafsiri
Una uhakika hapakuwa na logo ya azam?Mkuu ushasema mechi zingine
kila mtu anatoa masharti yake
kama hao warwanda wametumia nafasi hiyo kujitangaza ndo maan hata logo ya azamsport1 pale haipo inaonekana ya iyo channel ya uko rwanda
Unachomoa waya wa sauti inayo kuja unaweka ya kwako, (ya mtangazaji wa Azam media)Hawana wakalimani ndio hoja yangu mbona mechi zingine za kimataifa huwa wanakalimani
Hadi aibu naona mimi duh. Ungeuliza kwanza aisee kwenye matangazo ya live hasa mpira hatuweki mkalimani bali tunatoa sauti ya lugha tusiyoitaka na kuingiza sauti nyingine. Sasa inawezekana kulikua na changamoto ya kiufundi. Wengine wanasema haki za matangazo pia nayo inaweza kuwa sababu ya Azam kushindwa kutangaza kwa lugha nyingine. Ila hilo la mkalimani umechemkaaaaaaaaaAzam acheni ubahili ajirini watangazaji wanaojua kiswahili na kifaransa mechi ya Tanzania na Congo ni kifaransa tu hamna mkalimani mnatia aibu
Media zingine pia achaneni na watangazaji wajua tu kiswahili na kingereza ajilini wanaojua mbali na kiswahili na kingereza wanajua kifaransa nk
Hao wengine akina Kitenge nk wawe tu wabwabwaja domo mechi za ndondo cup za mchangani
Ajirini watangazaji wanaojua lugha za kimataifa kwenye TV zenu
Azam leo mumetuaangusha watanzania ni aibu