Azam acheni uzushi tuonesheni penalty ya Yanga ilivyopatikana

Azam acheni uzushi tuonesheni penalty ya Yanga ilivyopatikana

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Je, imetokeaje mpira umetoka nje kisha ukarudi ndani na beki akaushika inakuwa penalty?

Hakuna faida yoyote kuibeba yanga kwenye mechi ya kirafiki
 
kwana ulikuwa umefumba màcho sio an hutak kuona
 
Lawama zinawafukiaje Azam?

Bora hata weed kuliko uvutaji wa pilipili mwendokasi
 
Balaa limeanza mapema hadi game ya kirafiki vyura wanabebwa aisee
 
Je imetokeaje mpira umetoka nje kisha ukarudi ndani na beki akaushika inakuwa penalty?

Hakuna faida yoyote kuibeba yanga kwenye mechi ya kirafiki
Taarifa zenu za kipigo mlichokipata asubuhi tunazo. Mnakuja kupoza machungu humu.
Kufungwa wafungwe Mlandege. Hawana malalamiko. Kuwashwa muwashwe ninyi!!!
 
Waambie pia waonyeshe game ya green worries mlocheza nao asubuhi.
 
Shule muhimu sana. Lecturer wangu mmoja alishawahi kusema wasio na elimu utawaona tu hata wanachoandika. Mhusika kaandika green worries wewe unaandika yako. Mkiambiwa elimu ndiyo ufunguo wa kuelewa hamsikii. Unasoma na bado huelewi. Unaandika kitu kingine na mwenzio kaandika kingine.sisi wenye akili tunagundua vitu ambavyo nyie vilaza hamvioni.

Mzee wewe ndio wa kwenda shule,green warriors huijui ni timu gani kweli,while mwaka juzi waliwatia kimoko pale taifa na kuwatoa kwenye kombe la fa
 
Shule muhimu sana. Lecturer wangu mmoja alishawahi kusema wasio na elimu utawaona tu hata wanachoandika. Mhusika kaandika green worries wewe unaandika yako. Mkiambiwa elimu ndiyo ufunguo wa kuelewa hamsikii. Unasoma na bado huelewi. Unaandika kitu kingine na mwenzio kaandika kingine.sisi wenye akili tunagundua vitu ambavyo nyie vilaza hamvioni.
We mkia mbona una hasira sana?
 
Je, imetokeaje mpira umetoka nje kisha ukarudi ndani na beki akaushika inakuwa penalty?

Hakuna faida yoyote kuibeba yanga kwenye mechi ya kirafiki
Tangia Simba waanze kuongozwa na Bar ya Bara wameiga mifumo ya jinsia ingine ikiwemo kufuatilia kila siku maisha ya jirani yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom